Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,664
Nimebaki mdomo wazi kwa heshima ya familia tuna kikao private🤣🤣Nani kakwambia ufungue huu uzi lakini sis 🙈
Nilitulia mwenyewe ulivyorudi mara boom umekuja dah!! 😹😹

I miss youNilikuwa nakuheshimu sana🤣🤣🤣 Lamomy
Bado Niko kwenye shock🤣🤣🤣😹😹😹 kwanini lakini Tayana wangu?
Mbona penzi litashamiriKwa nini hutaki kuolewa?nataka nikuoe wewe,penzi litashamiri tukiwa ndoani😇
Acha kubabaika wewe
Lamomy
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
𝕆𝕟𝕘𝕖𝕒 𝕒𝕕𝕚 𝕚𝕜𝕦𝕥𝕠𝕜𝕖Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini sitaki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Nakuja jiraniThibitisha 😹
Ndo maana nimekosa Cha kushauriI miss you more TW wangu...
Usicheke,we jua sikutarajia haya aliyoyazungumza hapa ,hivi umerogwq wewe eti? Lamomy ?
SI ndo umetufikisha hapa mi na Joannah Bado tinashangaa tu🤣🤣Eeh umeanza udalali? 😹