toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
I'm on that good kush and alcoholLil Wayne anakwambia " when i come i come to my sense"
Hii kitu hata mimi ninayo.
I'm on that good kush and alcoholLil Wayne anakwambia " when i come i come to my sense"
Hii kitu hata mimi ninayo.
Ni yeye basi namkaribisha atafurahi mbona😁😁🏋🏻🏋🏻Penseli huyo utajichosha 😹😹
Nimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nielekezee huo ukatuni ulomfanyia chibaba, hivi udugu leo imekuaje ukashare kitu kinacho kutatiza.
Umenistua ujue?
Karibu 😁Block ya nini? Ukiona sio la maana kwako unaniambia nitaelewa au
OK dear 😘Karibu 😁
Ila kwa wasio pitia hali hii watakuona wa ajabu yaani inafika kipindi mpaka unajitusi mwenyewe 😁Nimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! 😹😹😹
Mpaka kulileta hapa ujue nimefika mwisho udugu..!! Huo ukatuni nitakwambia pm 🤣
Anajiita tumbili.Ukweli kutoka moyoni nilikuwa naenda kumuhusisha yule member 😂😂😂
Ajabu ID yake jina limenitoka dadeqqq!!
Usikute una jini mahaba maana ndio dalili zake hizo.Halipendi kabisa watu waoe au kuolewa.Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa.
Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume)
Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!!
Kila mara anajaribu kuniuliza tatizo nini? Nashindwa kumjibu, nishamwambia simtaki lakini na yeye king’ang’a. 😹😹
Anataka penzi liende viral aweke chuma ndani kihalali namkwepa yote sababu ni hiyo hali inayonitokea..!!
Ss hivi analalamika anasema namtumia kupooza hamu zangu kwanini hataki anioe??
Nb; Majibu ya hovyo sitaki na sitaki member yoyote ahusishwe na hii issue..!!
Hata mimi najitahidi kutojibu sms zake na calls zake ila ikitokea tumekutana nasema leo mwisho sirudii tena. Muda huo nakua na hamu nae..!!Nakupa mfano wa binti 1 ana fanya kazi taasisi Moja karibu na sisi, huwa ana Jitahidi kuni zoea na kuni changamkia Ile ya .....
But Mimi naona ka kero kutokana na kufahamu tabia yake fulani, so nika ona the best option ni kupunguza mazoea ili kumpa nafasi ya ku move on.
Ni wa ajabu +foolish age.Ila kwa wasio pitia hali hii watakuona wa ajabu yaani inafika kipindi mpaka unajitusi mwenyewe 😁
Nausubiri kwa hamu huko PM udugu.Nimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Mpaka kulileta hapa ujue nimefika mwisho udugu..!! Huo ukatuni nitakwambia pm [emoji1787]
Huyu utoto unamsumbuaToka dunia iumbwe wanawake "haijulikanagi" mnataka nini.
Daaah aisee leo nimemwona mwanamke nilimwona mwakajana alikuwa kijana kuliko mimi ila leo kazeeka kuliko mimi na ana mashozniga usoni, I was amusedBila shaka uyo jamaa ni nice guy, ukiondoa sex hana hamsha hamsha zingine mfano kupata taarifa za michepuko yake au ule udikteta fulani hivi wa kiume.
Kama unaona hashtui hisia zako achana nae kuliko kumpa matumaini hewa, ila zingatio tu utakuja kumkumbuka badae ukiwa hauna soko tena kwenye dating pool. Make your decision wisely, time is very cruel to women.
Haha........sawa Mhe. Rais 🤗Mimi sio mkuu, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Kwahiyo anamchezea home boy mwenzetu!!Mapenzi yafutwe
😁Huyu utoto unamsumbua