Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Upo sahihi.Jibu ni moja tu. Humpendi hata kidogo. Na usilogwe ukafunga naye ndoa maana nyumba itakuwa haikaliki. Mimi ni mwanaume na najua wanaume wengi tupo hivyo. Ukiwa na hamu unahaha hata mwenye sura ya kiboko utamwita beauty. Lakini ukishafanya jambo lako hutaki hata kufuatana naye.
Asithubutu kuolewa naye yatatokea majanga na majuto.