Namtamani rafiki wa mke wangu

Namtamani rafiki wa mke wangu

jeffvlar

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
222
Reaction score
358
In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata tunavyoangaliana.

Huu ni ugonjwa au sijui ni nini, mimi sitaki kula vya karibu.

Kwenu wakuu mnishauri niondokane na tabia hii.
 
Ulioa kabla ya muda wako sahihi wa kuoa haujafika.
Kabla ya muda sahihi huku ndoa ina miaka minne?

Mleta uzi hapo ulipofikia ni stage ya kawaida kwa wanaoishi pamoja. Hufikia stage utakosa hata hamu na mkeo ila ukiruka nje utaperform mpaka utashangaa.

Now that I'ves said it's normal simaanishi uwamege, hapana. Usifanye hivyo kwakua shemeji amekuamini ndiyo maana mpaka leo mpo wote na anakuheshimu, hata hao marafiki zake wanakuheshimu. Ambacho utafanya kitavunja heshima na uaminifu, viti viwili ambavyo watu hutumia miaka kuviearn.

So distract urself from em kwakua unachofeel juu yao siyo mapenzi ni tamaa. Na unachofeel hakina thamani ya kuitikisa ndoa yako ya miaka minne.

Nakuhakikishia ni kawaida huna sababu ya kutenda kufuatana na hizo hisia.
 
Mke wako huwa anakupa kisawasawa!?

Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.

Ule usemi wa kizungu usemao, 'the beauty is in the eyes of the beholder' nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege.

Unaweza kumtamani akakupa. Baadae unajitafakari, hivi yule nilienda kufata nini pale?

Pole sana Mkuu.
 
Kumbukumbu la torati 14:7

Enyi wanaume, hamjui ya kwamba wanawake wameumbwa kwaajili yenu?
Basi kila mmoja wenu na akijisikia kujitwalia mwanamke yeyote na ajitwalie. Ila tu isiwe mtu mke huyo uliyemtamani ana mume


Hivyo mleta mada bila kupepesa macho hiyo ni halali yako
 
Hyo kawaida na ipo sana,we cheki mazingira yakiwa sawa piga tuu sio wa kwanza Wala wa mwisho kufanya.
 
Wagonge tu tena ni very easy ila mkeo asijue sasa maana akijua umeisha
 
Mke wako huwa anakupa kisawasawa!?

Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.

Ule usemi wa kizungu usemao, 'the beauty is in the eyes of the beholder' nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege.

Unaweza kumtamani akakupa. Baadae unajitafakari, hivi yule nilienda kufata nini pale?

Pole sana Mkuu.
Kwamba beholder ni mwanaume mwenye nini? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom