Namtamani rafiki wa mke wangu

Namtamani rafiki wa mke wangu

Ndoa miaka minne hujapata mtoto duh, kuna shida hapo , au ndiomaana unaanza kutaka kula mashosti wa mkeo
 
Kuna sehemu amesema ni wabaya kuzidi mke wake 😃 sasa anawatamani wa nini? Au kichupa kimejaa maskini maana genye nazo zikizidi hazijwahi muacha mtu salama....
Sasa si utongoze ukule chap chap?!!! Au?
 
Mke wako huwa anakupa kisawasawa!?

Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.

Ule usemi wa kizungu usemao, 'the beauty is in the eyes of the beholder' nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege.

Unaweza kumtamani akakupa. Baadae unajitafakari, hivi yule nilienda kufata nini pale?

Pole sana Mkuu.
Inawezekana sikati kiu vizuri.
Anyway hapo hamna namna kuvumilia tu.
 
Kuna sehemu amesema ni wabaya kuzidi mke wake [emoji2] sasa anawatamani wa nini? Au kichupa kimejaa maskini maana genye nazo zikizidi hazijwahi muacha mtu salama....
Ni kweli ni wabaya (kiumbo) kuliko mke wangu
 
Kumbukumbu la torati 14:7

Enyi wanaume, hamjui ya kwamba wanawake wameumbwa kwaajili yenu?
Basi kila mmoja wenu na akijisikia kujitwalia mwanamke yeyote na ajitwalie. Ila tu isiwe mtu mke huyo uliyemtamani ana mume

Hivyo mleta mada bila kupepesa macho hiyo ni halali yako
Na ile amri ya Mungu ya 6 kuwa usizini, na ile ya 9 usitamani mwanamke asiyekuwa wa kwako wameandikiwa kina nani?

Nikisema siamini biblia ina mambo ya kipuuzi watu hawanielewi
 
Kumbukumbu la torati 14:7

Enyi wanaume, hamjui ya kwamba wanawake wameumbwa kwaajili yenu?
Basi kila mmoja wenu na akijisikia kujitwalia mwanamke yeyote na ajitwalie. Ila tu isiwe mtu mke huyo uliyemtamani ana mume

Hivyo mleta mada bila kupepesa macho hiyo ni halali yak

Dah....ushauri mbovu sana huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Ubovu wake ni nini?
 
Na ile amri ya Mungu ya 6 kuwa usizini, na ile ya 9 usitamani mwanamke asiyekuwa wa kwako wameandikiwa kina nani?
.
.
Nikisema siamini biblia ina mambo ya kipuuzi watu hawanielewi
Hapo nimetania... Lakini kwa ujumla Biblia ina mambo ya kipuuzi kwelikweli
 
Mwambie mkeo unataka kuongeza rafiki zake wamsaidie kazi.
 
Back
Top Bottom