Kabla ya muda sahihi huku ndoa ina miaka minne?Ulioa kabla ya muda wako sahihi wa kuoa haujafika.
ina maana ulioa mwanamke mbaya ndiyo sababu unawatamani marafiki zake ungeoa mwanamke mzuri wa ndoto yako usingepata shidaama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata tunavyoangaliana.
Acha uongoKumbukumbu la torati 14:7
Enyi wanaume, hamjui ya kwamba wanawake wameumbwa kwaajili yenu?
Basi kila mmoja wenu na akijisikia kujitwalia mwanamke yeyote na ajitwalie. Ila tu isiwe mtu mke huyo uliyemtamani ana mume
Hivyo mleta mada bila kupepesa macho hiyo ni halali yako
Kwamba beholder ni mwanaume mwenye nini? 🤣🤣🤣Mke wako huwa anakupa kisawasawa!?
Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.
Ule usemi wa kizungu usemao, 'the beauty is in the eyes of the beholder' nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege.
Unaweza kumtamani akakupa. Baadae unajitafakari, hivi yule nilienda kufata nini pale?
Pole sana Mkuu.
Miaka 31Umri wako?