Namtamani Wema Sepetu

Namtamani Wema Sepetu

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Aisee huyu binti kama yupo humu aniwie radhi ila siamini kama kuna mwanaume hamtamani kwa uzuri wake.
Najua waku diss hawakosekani ila kimoyomoyo wanajua Wema ni mashine nyingine...
Ningepata mwanya wa kukutana naye ningejaribu bahati yangu. Kama yupo humu ani pm hata emoji tu[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Miliki noti za kutosha kwanza. Ukizipata hata wema hutomtamani tena maana utamuona siyo type yako tena. Kuna warembo zaidi ya wema ila hawana title mjini.
 
Aisee huyu binti kama yupo humu aniwie radhi ila siamini kama kuna mwanaume hamtamani kwa uzuri wake.
Najua waku diss hawakosekani ila kimoyomoyo wanajua Wema ni mashine nyingine...
Ningepata mwanya wa kukutana naye ningejaribu bahati yangu. Kama yupo humu ani pm hata emoji tu[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Hahaha ni mashine kwel kwel
 
Siwezi kuwatamani wanawake waigizaji ktk maisha yangu. Wapi uchi kila Sikh ata inzi huguza papuchi zao.
 
Nenda instagram utampata kirahisi,huku wanaogopa kuja Jf mbna watu wengi wanatumia akili sana.
 
Unamaana gani?
We unadhani kumpata wema utamtongoza mkuu mpaka akuelewe we tafuta pesa za kutosha mtafute unagonga mzigo kiulainiiiiiiiiiiiii !!! Ila kama utabaki na kutongoza utaishiaa kuangalia tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom