Namuangalia victor akpan hapa fundi wa kabumbu africa mashariki na kati coastal union vs kagera sugar

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Nipo naangalia mechi ya coastal vs kagera Akpan victor ni zaidi ya lwanga .jamaa anafika jamaa anakaba .jamaaa anagongana sana Ana mwili mkubwa lakini anakimbia tofauti na lwanga mzito kama kafungwa mawe miguuni .kinachotufelisha washabaki wa simba ni kuwa wao wanajua wachezaji wa timu yao tu. Wachezaji wa timu nyingine hawawajui au wanaweza kuwa wamewaona mechi moja tu .jamaa kwa level ya tanzania anacheza timu yeyote kuanzia simba hadi hadi prisons........

Karibu simba victor akpan ww ni mtu wa ball.watu wa mpira tushakuona.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Sawa. Tupe matokeo sasa baada ya dakika 90 kuisha
 
Bado sina uhakika kama kafanikiwa kujiunga Simba Sc, hivyo sitasema kitu.
 
Nipo naangalia mechi ya coastal vs kagera Akpan victor ni zaidi ya lwanga .jamaa anafika jamaa anakaba .jamaaa anagongana sana Ana mwili mkubwa lakini anakimbia tofauti na lwanga mzito kama kafungwa mawe miguuni .kinachotufelisha washabaki wa simba ni kuwa wao wanajua wachezaji wa timu yao tu. Wachezaji wa timu nyingine hawawajui au wanaweza kuwa wamewaona mechi moja tu .jamaa kwa level ya tanzania anacheza timu yeyote kuanzia simba hadi hadi prisons........

Karibu simba victor akpan ww ni mtu wa ball.watu wa mpira tushakuona.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Nyie lengo lenu ni kifika final ya champions league, wee unasema huyu anacheza timu zote za tz
 
Back
Top Bottom