pole mkuu namna ya kwenda kumwuliza mama mkwe mmmhhh pana ugumu.
Swali je wakati unamwambia atoe pesa kwa ajili ya wazazi/ndugu zako kuna kiasi chochote ulikuwa unampatia kwa ajili ya wazazi wake pia?
kwa iyo anamkwida bure?Mmmmhhh BM unaanzaje kuwakatia mpunga wazazi wa msichana kabla hujamwoa,wazazi nao wanaanzaje kupokea pesa toka kwa 'rafiki' wa binti yao?
WanaMMU salaam mbele!
Ni hivi..Niko na mchumbaangu na huu ni mwaka wa tatu na Mwenyezi Mungu akijaalia huenda mwaka huu tukajitia kitanzi (pingu za maisha). Lakini wajameni kuna kitu kimenishangaza kidogo ndo maana nikaja hapa walau mnisaidie kwa kulitizama kwa mapana jambo lenyewe!
Kwa muda takribani miezi sita sasa nimekuwa nje ya Bongo, na kwa kuwa niko na wazazi wananitegemea na wako mbali na Dar ninakoishi niliamua kumuachia mchumbaangu ATM Card yangu ili awe ana'access' mshahara wangu kwa ajili ya kuwatumia wazee na wadogo zangu matumizi. Kwa kipindi kirefu sikuwa nimeona kama kuna walakini kwenye hesabu zangu coz mara moja moja nilikuwa naomba bank statement ili kujiridhisha kama mambo yanaenda vizuri ( ikumbukwe hizi ni pesa na zina vishawishi). Of course kuna wakt kumekuwa na vijimatumizi visivokuwa na kichwa wala miguu na kwa kuwa haikuwa figure kubwa sikuwa najali sana zaidi ya kumkumbusha tu awe makini.
Kama miezi miwili iliyopita niliomba tena bank statement bahati mbaya nikakuta kuna hela kama laki tano imetolewa nje ya matumizi niliyomwidhinishia. Niliamua kumuuliza mchumbaangu kisa cha ku'draw' mkwanja huo. Cha ajabu alishtuka na kuniomba 'sorry' kuwa mamamkwe (yaan mamaake) aliziomba ili akatatulie matatizo ofisini kwao..yaan alikuwa na loss( she is an accountant). Na pia alimuambia asiniambie coz angezirudisha soon!..Nimekuwa nikimuuliza kama zimerudishwa na mpaka naandika huu uzi naona bado ni kimya...Sasa kwa kuwa huku nilipo sipigi deal wala nini na mkwanja wa huko Bongo ndo nautegemea (kumbuka kuna harusi hapa mbeleni) nimebaki nimeduwaa!..Natamani nimuulize mamamkwe but nakosa 'guts'..Je? Nimuamini tu mchumbaangu au nijikakamue tu nimuulize my mother in law???..sasa kumuuliza ndo naanzaje???
Mmmmhhh BM unaanzaje kuwakatia mpunga wazazi wa msichana kabla hujamwoa,wazazi nao wanaanzaje kupokea pesa toka kwa 'rafiki' wa binti yao?
75% naamini mama hajui kinachoendelea. usishangae hela kapewa mwanaume mwenzio! Vumilia lakini, tulia utajua yote ukirudi. usimdai wala usisamehe. Tulia. Akirudia tena hata 50 bila taarifa na kama utakaa sana huko, Wasiliana na benk wa-block ATM.
WanaMMU salaam mbele!
Ni hivi..Niko na mchumbaangu na huu ni mwaka wa tatu na Mwenyezi Mungu akijaalia huenda mwaka huu tukajitia kitanzi (pingu za maisha). Lakini wajameni kuna kitu kimenishangaza kidogo ndo maana nikaja hapa walau mnisaidie kwa kulitizama kwa mapana jambo lenyewe!
Kwa muda takribani miezi sita sasa nimekuwa nje ya Bongo, na kwa kuwa niko na wazazi wananitegemea na wako mbali na Dar ninakoishi niliamua kumuachia mchumbaangu ATM Card yangu ili awe ana'access' mshahara wangu kwa ajili ya kuwatumia wazee na wadogo zangu matumizi. Kwa kipindi kirefu sikuwa nimeona kama kuna walakini kwenye hesabu zangu coz mara moja moja nilikuwa naomba bank statement ili kujiridhisha kama mambo yanaenda vizuri ( ikumbukwe hizi ni pesa na zina vishawishi). Of course kuna wakt kumekuwa na vijimatumizi visivokuwa na kichwa wala miguu na kwa kuwa haikuwa figure kubwa sikuwa najali sana zaidi ya kumkumbusha tu awe makini.
Kama miezi miwili iliyopita niliomba tena bank statement bahati mbaya nikakuta kuna hela kama laki tano imetolewa nje ya matumizi niliyomwidhinishia. Niliamua kumuuliza mchumbaangu kisa cha ku'draw' mkwanja huo. Cha ajabu alishtuka na kuniomba 'sorry' kuwa mamamkwe (yaan mamaake) aliziomba ili akatatulie matatizo ofisini kwao..yaan alikuwa na loss( she is an accountant). Na pia alimuambia asiniambie coz angezirudisha soon!..Nimekuwa nikimuuliza kama zimerudishwa na mpaka naandika huu uzi naona bado ni kimya...Sasa kwa kuwa huku nilipo sipigi deal wala nini na mkwanja wa huko Bongo ndo nautegemea (kumbuka kuna harusi hapa mbeleni) nimebaki nimeduwaa!..Natamani nimuulize mamamkwe but nakosa 'guts'..Je? Nimuamini tu mchumbaangu au nijikakamue tu nimuulize my mother in law???..sasa kumuuliza ndo naanzaje???
Kama wataka mke hizo laki 5 samehe tu mkuu....ni hela ndogo sana kulinganisha na thamani ya huyo ulienae....pia fanya haraka urudi na uchukue ATM yako....

Mkuu kusema ni hela kidogo au nyingi inategemea na kipato cha mtu husika. Binafsi sina kipato kikubwa kivile na pia si unajua maextended family. Nia yangu ilikuwa kujua kama ni kweli mamamkwe ndio kazikopa au bidada ananzingua..Na kusema niwahi kurudi kwa ajili ya ATM card naona bado ngumu..issue hapa ni uaminifu ndo nautafuta!
Mkuu usikubali kabisa kusamehe huo mkwanja, kwanza kama mama mwenyewe ni accountant it means naye mambo yake si mabaya kama walivyo watanzania wengi, angekuwa ni mkulima wa jembe la mkono kule Bumbuli au Tandahimba ningekuambia msamehe.
Otherwise include huo mkwanja kwenye Mahali kama bado hujatoa mahali, but otherwise dai chako aisee, ndo kwanza hata kumuoa bado, ukiisamehe hiyo jiandae kukutana na changamoto kibao mbeleni.
Mtu mwizi ni mwizi tu, haiwezekani mamkwe akope hela ndani ya nyumba bila kukushirikisha, na mamkwe anaoenekana hana busara haiwezekani akasema asikwambie wakati ni mkeo mtarajiwa anafikiri anajenga picha gani kwako. Mkuu be kin coz inaonekana wanaushirikiano mkubwa sana wasijeyumbisha family yako. Hivyo nakushauri mkuu usubiri kama walivyosema wadau hapo juuuuuuuuuuuuuuuuu lakini ukiona kimya unatakiwa kumwonya immediately otherwise they will take every thing as usual.
hio hela samehe mkuu fanya kama ilipotea bahati mbaya,ila usimake a mistake again kumuachia mchumba wako card yako,never again...hana maaamuzi magumu,kama mama yake ana shida kwa nini asingetoa kny account yake mwenyewe,hujasema kama ana kazi at all inayomuingizia kipato au anakutegemea kwa kila kitu....
hela kama sio yako,kuitumia huionei uchungu.pengine huyo mchumba ametumia tu kwa matumizi yake binafsi.na kwa nini kadi umuachie mchumba,wanawake wenyewe hawaishi kubadilika.dunia ya sasa kuhusu hela uaminifu ni zero