Namuelewa sana Waziri wa Afya

Sasa una mwelewa vipi kisha tena una anza na swali kama ameolewa?
 
Ana mkia wa kutosha kama wema sepenga? ?
 
Mkuu huyo ni waziri halafu pia ni mke wa mtu, si vema kumjadili hapa wakati umaarufu wake ni siasani tu. Tujadili utendaji wake ambao ndio dhamana aliyonayo kwa wananchi.
Kwani kuwa fiti idara zote umekuelewaje? Tatizo mawazo yetu tunayapeleka kwingineee!
 
Huyu mama kwa kweli kajaaliwa mnyazi Mungu kamba kheri ya akili na mwili. Amina.
 
Hawa ndio wanaume wetu jamani!
90% ya waliochangia hapa ni waume za watu!
Hongereni wanawake mlioko ndoani,nyie ni mashujaa.
Mimi sijasema kitu lakini, nimeishia kuangalia tu mafirauni wakipashana habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…