Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

mwenzenu anaomba ushaur.. nyie mnaanza kujaji mwandiko, kwani hamjamuelewa..
 
Tatizo wanaume mmekariri kumtoa bikra mwanamke adi damu itoke kumbe ndivyo sivyoo

Lol!hiyo elimu inahitajika sana maana ukiambiwa bikra ipo halafu hamna damu lazima ushtuke kama huna uelewa
 
Sweetheart kwani ukimtoa bikira mwanamke kinatoka nini? Mikojo?

Sio kila mwanamke anatoa damu wakat wa kutolewa bikra.....mwingine anatoa but mwingne awez kutoa si unaona tu unavoingiza dushe utaona inagoma kuingia tu
 
weeh ni mwanafunz wa sekondar miandiko yenu ya kihuni inajulikana!shortly umeandka kihuni huwez kupata ushaur kwa watu wazma by teenage writing"!

Na wewe una tofauti gani na huyo unaemsema??!!!
 
Sikiliza dogo,kwenye kuandika usitumie ufupisho kama huo,hata barua ya kuomba kazi ukiandika hivo hupewi kazi.

Kuhusu huyo demu wala usipanic ,kwanza fanya utafiti kama huyo jamaa ndo anayetoka naye,inawezekana ni kaka au ndugu,ungekuwa facebook ungefuatilia vizuri jamaa wa kwenye picha ni nani maana kwa kumwuliza tu demu wako hawezi kukupa jibu la ukweli.
 
Lol!hiyo elimu inahitajika sana maana ukiambiwa bikra ipo halafu hamna damu lazima ushtuke kama huna uelewa

Nakwambia tena na sio kila anaetoa damu anakua ni bikra......wengine wanapaka limao kitu kinaziba baada ya hapo ukikutana na mtu anadushe kubwa unazan what next kama sio kutoa damu na ni anakua si bikra
 
Ila wanao-fake utawajua tu labda kama akikutana na mtu ambaye hajawahi itoa
 
Sio kila mwanamke anatoa damu wakat wa kutolewa bikra.....mwingine anatoa but mwingne awez kutoa si unaona tu unavoingiza dushe utaona inagoma kuingia tu

Asante kwa kunielimisha lakini wengine nasikia huwa wanakamulia ndimu ili ibane. Pia Tanga ni mafundi wa kutengeneza hymen za bandia.
 
Asante kwa kunielimisha lakini wengine nasikia huwa wanakamulia ndimu ili ibane. Pia Tanga ni mafundi wa kutengeneza hymen za bandia.

Ni kweli kabiaa na pia kuna dawa moja inauzwa kwenye maduka ya dyna farm inaitwa cassip fatma coffee ni nzuriiii kwakutengeneza bikra
 
nipo tu ila nabaki kusoma mara nyingi,ila nipo sana jukwaa la sport na siasa.

naona umebadili jina la id

Yah siunajua tena mwaka mpya na mambo mapya
 
Pamoja na kulalama kote bado hakuna sababu yyte inayoonyesha mwenzio si mwaminifu kwan kukuta picha ya jamaa fb ni uthibitisho kuwa wanamahusiano ya mapenz? acha ukilaza, kama unasbbu zako wew sepa wala usijitafutze vjsababu! dume zma unapost ujinga! shame on you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…