Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

Bado nashangaa sana..hivi nini kinasababisha usikae chini uoweke mawazo yako vizuri ya unachotaka kuandika then unaandika...hivi vijana tunakuwaje siku hizi..?!
 
Pamoja na kulalama kote bado hakuna sababu yyte inayoonyesha mwenzio si mwaminifu kwan kukuta picha ya jamaa fb ni uthibitisho kuwa wanamahusiano ya mapenz? acha ukilaza, kama unasbbu zako wew sepa wala usijitafutze vjsababu! dume zma unapost ujinga! shame on you!

unataka jamaa awe tomaso?
Hivi inakuja akilini mwanamke aweke picha ya mtu asiyemjua?
 
Ugonjwa wa kusubiri matokeo mbaya sana. Umeandika utumbo mtupu hapo.
 
Ndio umeandika nini sasa??? Jifunze kuandika kiJF na sio kiFB. Kafanye homework then ulale kesho shule
 
Swalama wanajamvi!? Nlikua na dem m1 tang darasa la 7, sekondar na hata uriani sekuwah ku do nae ad 2lpomalza 4m4 nlimpenda na nlmwamn sana kabla yaku do aliniambia yy n bi.k.ra lakn nlgundua co kwel baada ya ku do.upendo wang kwake ulpungua ila yy alizd kunipenda na kunisstza kua nsmuache coz ntamuumiza sana, aliasa sana mm na yy kuoana, baada yakumalza 4m4 yy alienda nairob mm nkaja dar tuliendelea kuwasiliana na kupeana ma2main, alihamishiwa iringa na badae tanga kkaz nlinda cku 1 nakurud baada ya cku 2, neno lake llkua lile lile mm na yy tuje kuona, mm cko fb coz a don like it na yy anatambua ilo, 1 day nlichukua cm ya m2 na kuingia kweny page yake, nlkuta ka post pcha ya jamaa m1 kweny page yke, nlimuuza akanambia yy mwenyw hamjui ckua na maneno, mm na yy tuko dn tofaut na alikubal kua atabadl dn, nmem2100 text through watsap na kumwambia aachane na mm na akipata mwanaume aolewe, kalalamka sana na kunikumbushia mambo meng 2loahidiana namuonea uruma kias flan ila nicngependa awe mama wa wanang ila anatia huruma plz matus co mazur
2ngekuwa tunam know b4 u niu ha ..mbona ingekuwa mwakemwake mwana kwenye kukupa maushauri kama yabmama ushauri... Son kwa vile de ndo namfahalu vizuri bacbka vipi continue kumdeku kisorry sorry hivo kama kawa mwana...
 
Join Date : 10th January 2015
Posts : 34
Rep Power : 308
Likes Received7
Likes Given0

aiseee............
 
Kwanza sijakuelewa unataka nini maana maamuzi ushayafanya ulichokileta hapa hadithi tu.

Kingine Uandishi wako ni utata mtupu
 
Yaani nilipokutana na hilo neno ndio nikachoka zaidi

Na2100.... uvivu gani huu uliopitiliza

Na sie tumjibu na2200

Ha ha umeona eeehhh anajifanya hayuko FB wakati lugha yake ni ushahidi tosha na 'demu' wake
 
Ukimaliza kunyonya uje utuandikie vizuri...ili tujue tuanzie wapi kukushauri...
 
Back
Top Bottom