Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

Swalama wanajamvi!? Nlikua na dem m1 tang darasa la 7, sekondar na hata uriani sekuwah ku do nae ad 2lpomalza 4m4 nlimpenda na nlmwamn sana kabla yaku do aliniambia yy n bi.k.ra lakn nlgundua co kwel baada ya ku do.upendo wang kwake ulpungua ila yy alizd kunipenda na kunisstza kua nsmuache coz ntamuumiza sana, aliasa sana mm na yy kuoana, baada yakumalza 4m4 yy alienda nairob mm nkaja dar tuliendelea kuwasiliana na kupeana ma2main, alihamishiwa iringa na badae tanga kkaz nlinda cku 1 nakurud baada ya cku 2, neno lake llkua lile lile mm na yy tuje kuona, mm cko fb coz a don like it na yy anatambua ilo, 1 day nlichukua cm ya m2 na kuingia kweny page yake, nlkuta ka post pcha ya jamaa m1 kweny page yke, nlimuuza akanambia yy mwenyw hamjui ckua na maneno, mm na yy tuko dn tofaut na alikubal kua atabadl dn, nmem2100 text through watsap na kumwambia aachane na mm na akipata mwanaume aolewe, kalalamka sana na kunikumbushia mambo meng 2loahidiana namuonea uruma kias flan ila nicngependa awe mama wa wanang ila anatia huruma plz matus co mazur

Maandishi yako yanaelezea uhalisia wako.
 
Dah nimecheka sanaa na hiyo shorthand yake...

Walahi imenichukua dakika kadhaa kuelewa hapa nmem2100...hahahaa kweli ni shidaa kizazi cha facebuka...
 
Swalama wanajamvi!? Nlikua na dem m1 tang darasa la 7, sekondar na hata uriani sekuwah ku do nae ad 2lpomalza 4m4 nlimpenda na nlmwamn sana kabla yaku do aliniambia yy n bi.k.ra lakn nlgundua co kwel baada ya ku do.upendo wang kwake ulpungua ila yy alizd kunipenda na kunisstza kua nsmuache coz ntamuumiza sana, aliasa sana mm na yy kuoana, baada yakumalza 4m4 yy alienda nairob mm nkaja dar tuliendelea kuwasiliana na kupeana ma2main, alihamishiwa iringa na badae tanga kkaz nlinda cku 1 nakurud baada ya cku 2, neno lake llkua lile lile mm na yy tuje kuona, mm cko fb coz a don like it na yy anatambua ilo, 1 day nlichukua cm ya m2 na kuingia kweny page yake, nlkuta ka post pcha ya jamaa m1 kweny page yke, nlimuuza akanambia yy mwenyw hamjui ckua na maneno, mm na yy tuko dn tofaut na alikubal kua atabadl dn, nmem2100 text through watsap na kumwambia aachane na mm na akipata mwanaume aolewe, kalalamka sana na kunikumbushia mambo meng 2loahidiana namuonea uruma kias flan ila nicngependa awe mama wa wanang ila anatia huruma plz matus co mazur

Kwanza umeandika kihuni sana dogo so sidhan kama utapata ushauri mzuri utakao kusaidia kutokana na uandishi wako watu watakushauri kihuni pia
 
Maliza shule kwanza. Mapenzi kwa Mwanafunzi kama wewe yatakwamisha masomo yako.
 
Swalama wanajamvi!? Nlikua na dem m1 tang darasa la 7, sekondar na hata uriani sekuwah ku do nae ad 2lpomalza 4m4 nlimpenda na nlmwamn sana kabla yaku do aliniambia yy n bi.k.ra lakn nlgundua co kwel baada ya ku do.upendo wang kwake ulpungua ila yy alizd kunipenda na kunisstza kua nsmuache coz ntamuumiza sana, aliasa sana mm na yy kuoana, baada yakumalza 4m4 yy alienda nairob mm nkaja dar tuliendelea kuwasiliana na kupeana ma2main, alihamishiwa iringa na badae tanga kkaz nlinda cku 1 nakurud baada ya cku 2, neno lake llkua lile lile mm na yy tuje kuona, mm cko fb coz a don like it na yy anatambua ilo, 1 day nlichukua cm ya m2 na kuingia kweny page yake, nlkuta ka post pcha ya jamaa m1 kweny page yke, nlimuuza akanambia yy mwenyw hamjui ckua na maneno, mm na yy tuko dn tofaut na alikubal kua atabadl dn, nmem2100 text through watsap na kumwambia aachane na mm na akipata mwanaume aolewe, kalalamka sana na kunikumbushia mambo meng 2loahidiana namuonea uruma kias flan ila nicngependa awe mama wa wanang ila anatia huruma plz matus co mazur
have you written in kiSomali or what? Please translate
 
Sasa unataka nini? What is the point? Tumesoma, then?

Elimu yako yote hujajifunza uandishi?
 
Just kneel down watch the Heavens an feel sympath an take a position if ungekuwa yeye na yeye ndo wewe...?
 
Sijawahi kuona post iliyoandikwa kipuuzi kama hii tangu mwaka huu uanze.....
 
Back
Top Bottom