Kuitwa honey au sweet sio kigezo cha kupendwa sana wengine wanaigiza tu, halafu hayo majina ni mazoea kuyatamka wengine kuyaita tunaona shida kidogo kutokana na kutoyatumia mara kwa maraWadau,
Naombeni msaada mwenzenu mpenzi wangu namuita honey ila yeye ananiita 'nyangema' ananipenda kweli.
Haha hahah anakuchora anakuona Pimbi haha haha Nyangema banaWadau,
Naombeni msaada mwenzenu mpenzi wangu namuita honey ila yeye ananiita 'nyangema' ananipenda kweli.
Nyangema maanake nini...?Wadau,
Naombeni msaada mwenzenu mpenzi wangu namuita honey ila yeye ananiita 'nyangema' ananipenda kweli.
Nyangema ni lijinga flani. Kwahiyo umejielewa kwake ukojeWadau,
Naombeni msaada mwenzenu mpenzi wangu namuita honey ila yeye ananiita 'nyangema' ananipenda kweli.
Nyangema maana yake kijana bishoo au sholonga shabarooo brazamen afu wengi wao mfukoni hawana kitu wanaishi kwa mashemeji zao wakiumeNyangema maanake nini...?
Hana jina mpaka umuite honey...?
mbona umeguna mmy shule zinafunguliwa lini
wafungue tuHahaaa! Wiki ijayo ndio zinafunguliwa shoga angu ila kazi ipo mana haiingii akilini uitwe nyangema bado upo tu eti unataka ushauri.