Namuita 'honey' ananiita 'nyangema', ananipenda kweli?

Namuita 'honey' ananiita 'nyangema', ananipenda kweli?

Wadau,

Naombeni msaada mwenzenu mpenzi wangu namuita honey ila yeye ananiita 'nyangema' ananipenda kweli.
Kuitwa honey au sweet sio kigezo cha kupendwa sana wengine wanaigiza tu, halafu hayo majina ni mazoea kuyatamka wengine kuyaita tunaona shida kidogo kutokana na kutoyatumia mara kwa mara

Hivyo usimhukumu hakupendi kwa kuwa hakuiti majina utakayo wewe, binafsi hayo majina kuyatamka tu huwa naona kera but haimaanishi ukimwita mpenzi wako au mkeo jina lake ndio humpendi. Uzungu unawapoteza mnaojifanya watoto wa mjini
 
Kama halina maana mbaya, si ukubali tu. Sio lazima kuitana uliyozoea au unayoona ndio unaonyeshwa upendo kumbe bwaaaaaaaa.

Majina ya kuitana hutoka moyoni hayajichagui yanajileta, na wewe kama unamkazania akuite unavyomuia basi nawe jifikirie.
 
Shule zinafunguliwa lini maana? Na una umri gani tuanzie hapo harafu nikushauri cha kufanya
 
Nyangema maanake nini...?
Hana jina mpaka umuite honey...?
Nyangema maana yake kijana bishoo au sholonga shabarooo brazamen afu wengi wao mfukoni hawana kitu wanaishi kwa mashemeji zao wakiume
....aka CHANDE UGALI TAYARI
 
basi mwambie hiyo nyangema aipeleke kwenye English may be kwako ita sound romantic
 
Kama nyangema ni jina lako unataka akuitaje? Walaumu wazazi wako waliokuita nyangema.
 
Ila Papuchi si anakupa lakini? Kama anakupa hata akuite lofa,bwege,mjinga,mshenzi poa tu ila ukitaka mbunye anavua pichu unachomeka dushelele unamwaga wazungu kiroho safi! Chukulia poa
 
Back
Top Bottom