Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaruhusiwi kuoneshaHakuna hata link jamani? Azam mbona hawaonyeshi hii mechi?
Daaah aisee namungo leo kaukwaaNamungo 1 de agosto 2
Wanapiga mpunga mrefu.
Wanaweza wakasajili ata wachezaji watatu
Hawa majamaa balaa lao sio dogoNamungo 1 agosto 3. Namungo wafwaaa
Tunaongelea sustainability. Lazima tuache zima motoAhsante kwa taarifa...
Club bingwa Mapinduzi CupDah! Namungo haooooo!! 🌠☄️✈️🛫🛬 Makundi!! Na sisi Wananchi msimu ujao haoooooo 🌠☄️✈️🛫🛬 mpaka fainali Klabu Bingwa!! 😇
Swali mbona jepesi.Wakisha wasajili watawalipa Nini?
Mikia wana la kujifunza hapa.Ninachompendea namungo Hana kelele.
Yeye anacheza mpira.
Mikia wana la kujifunza hapa.
Yale ya Mwigulu na Singida United.. Alivyotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani ndio matatizo ya timu yakaanza hadi kushuka darajaNamungo itakuwepo kwa muda wote Majaliwa akiwa Waziri Mkuu. Baada ya hapo ni Majaliwa
UkomeDah! Namungo haooooo!! [emoji293][emoji3512][emoji3575][emoji928][emoji929] Makundi!! Na sisi Wananchi msimu ujao haoooooo [emoji293][emoji3512][emoji3575][emoji928][emoji929] mpaka fainali Klabu Bingwa!! [emoji56]
Kavae kjora chako dadaNinachompendea namungo Hana kelele.
Yeye anacheza mpira.