Namungo 1-3 CD de Agosto uwanja wa Chamazi, Namungo inafuzu hatua ya makundi kwa magoli 7-5

Hali ya kimchezo ikoje?

Uwezekano wa namungo kushinda upo kweli?
 
Bado dakika ngapi mpira wishe?
 
Dah! Namungo haooooo!! πŸŒ β˜„οΈβœˆοΈπŸ›«πŸ›¬ Makundi!! Na sisi Wananchi msimu ujao haoooooo πŸŒ β˜„οΈβœˆοΈπŸ›«πŸ›¬ mpaka fainali Klabu Bingwa!! πŸ˜‡
Club bingwa Mapinduzi Cup
 
Namungo itakuwepo kwa muda wote Majaliwa akiwa Waziri Mkuu. Baada ya hapo ni Majaliwa
Yale ya Mwigulu na Singida United.. Alivyotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani ndio matatizo ya timu yakaanza hadi kushuka daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…