Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Kikiwaramba msije kujifichaGame imeisha. Leo ni siku ya kuosha rungu. Namungo anapigwa na Dube atatabasamu. NAMUNGO LAZIMA AFUNGWE ATAKA ASITAKE.
NIPO HAPA.
Ulikuwa unasemaje dogo?Kikiwaramba msije kujificha
Na nimewabetia ole wenu mngenichania keka languUlikuwa unasemaje dogo?
Ulikuwa unasemaje dogoKikiwaramba msije kujificha
Kwa nini? Ushindi mkubwa upoAisee msipigane tu!
Safiiiii....Game imeisha. Leo ni siku ya kuosha rungu. Namungo anapigwa na Dube atatabasamu. NAMUNGO LAZIMA AFUNGWE ATAKA ASITAKE.
NIPO HAPA.