Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
alikunywa MO ENERGY itakuwa siku ileAlitumia energy nyingi siku ile kumkaba mayele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikunywa MO ENERGY itakuwa siku ileAlitumia energy nyingi siku ile kumkaba mayele
Nini mkuuDah'!
Chama ni majeruhi?maweeeeee,,Simba yangu kushnehi,,,[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Ohoo [emoji1787]Kwa nini yanga kabakiza game nyingi za nyumbani? huu ni upangaji matokeo
Shadeeya siye mashabiki wa simba tunamanung'uniko sana na hii ratiba, wanatupangia timu ngumu tuuAisee! Karibu mdogo wangu hujachelewa mana tangia asubuhi saa hii ndo nashika simu.
Tutamwambia Rais wa TFF apangue ratiba,Simba apewe mechi za nyumbani mpaka msimu utakapoishaKwa nini yanga kabakiza game nyingi za nyumbani? huu ni upangaji matokeo