Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

79' Kibu Goooooooooooooaaal gooal

Kibu Denis anasawazishia Simba SC bao, kwa shuti la chini chini

Namungo FC 2-2 Simba SC
 
Mwamuzi sasa atapumua baada ya kuwatoa mchezoni kwa muda mrefu wachezaji wa Namungo kupitia faulo, na kadi zake za njano zenye utata.
 
Basi mikia itashinda!.itapewa hata tuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…