Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Sisi waongoza ligi tunamalizia Eid namna hii walau tupate joto mana baridi kali.
 
Simba yahitaji Total Overhaul kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji

Wachezaji wapo wengi ambao hawatufai, hivyo tuwateme wote na kuanza upya tukijipa miaka 2-4 ya kupanda kimataifa.

Wachezaji kama Kagere,Wawa, Mzamiru, Nyoni, Lwanga, Mkude, Sadio, Kibu, Mugalu, Bocco, Chama, Banda, Morison hawatufai kwa sasa

Hawa ndo wanatukamua sana kibajeti.
Hawa waondolewe kwa mikataba yao kuvunjwa na tukuze vipaji au tununue wachezaji wazuri kutoka hapo Kongo

Matola na makocha wenzake, Mkurugenzi Rwemamu, hawa waondolewe

Wanaohusika na Scouting waondolewe
Duh, sasa hapo si timu nzima itakuwa imeondolewa?.....punguza hasira, timu bado ni nzuri, game tu imekataa
 
Back
Top Bottom