Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kweli kabisaSimba kama wangekuwa hawabebwi na marefa wangekuwa na point sawa na Azam
Asante marefa kwa kuwatunzia heshima mikia
Ndo Maana Katoa Kadi Nyekundu Ya Kimchongo [emoji1787][emoji1787]Refa kachukia[emoji23][emoji23]
Kiranga komooo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawezi kujaOKW BOBAN SUNZU usijifanye huu uzi huuoni. π π
Ndo Maana Katoa Kadi Nyekundu Ya Kimchongo [emoji1787][emoji1787]
Duh, sasa hapo si timu nzima itakuwa imeondolewa?.....punguza hasira, timu bado ni nzuri, game tu imekataaSimba yahitaji Total Overhaul kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji
Wachezaji wapo wengi ambao hawatufai, hivyo tuwateme wote na kuanza upya tukijipa miaka 2-4 ya kupanda kimataifa.
Wachezaji kama Kagere,Wawa, Mzamiru, Nyoni, Lwanga, Mkude, Sadio, Kibu, Mugalu, Bocco, Chama, Banda, Morison hawatufai kwa sasa
Hawa ndo wanatukamua sana kibajeti.
Hawa waondolewe kwa mikataba yao kuvunjwa na tukuze vipaji au tununue wachezaji wazuri kutoka hapo Kongo
Matola na makocha wenzake, Mkurugenzi Rwemamu, hawa waondolewe
Wanaohusika na Scouting waondolewe