Namungo FC, kama mnataka kufika mbali tafuteni mbadala wa Balola

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Leo ni mechi ya pili mfululizo namuona huyu kipa wenu Mapepe asiyetulia golini akifanya vituko na kuigharimu timu. Balola ni mkurupukaji na asiyejua muda gani afanye nini, muda gani asifanye.

Siko hapa kuongelea Mapinduzi Cup bali mashindano makubwa ambayo Namungo mnashiriki, chukueni hatua kabla hamjaangushwa shimoni na Balola.
 
Balola hana shida, sema watafute mapeki wazuri!
 
Leo ni mechi ya pili mfululizo namuona huyu kipa wenu Mapepe asiyetulia golini akifanya vituko na kuigharimu timu. Balola ni mkurupukaji na asiyejua muda gani afanye nini, muda gani asifanye.
Siko hapa kuongelea Mapinduzi Cup bali mashindano makubwa ambayo Namungo mnashiriki, chukueni hatua kabla hamjaangushwa shimoni na Balola.
huyu kocha anamuweka kipa namba 1 bench na beki bora Manyanya, kazingua huyo kocha!
 
Leo ni mechi ya pili mfululizo namuona huyu kipa wenu Mapepe asiyetulia golini akifanya vituko na kuigharimu timu. Balola ni mkurupukaji na asiyejua muda gani afanye nini, muda gani asifanye.
Siko hapa kuongelea Mapinduzi Cup bali mashindano makubwa ambayo Namungo mnashiriki, chukueni hatua kabla hamjaangushwa shimoni na Balola.
Yupo Jonathan Nahimana yule golikipa namba moja wa timu ya taifa ya Burundi.
 
Leo ni mechi ya pili mfululizo namuona huyu kipa wenu Mapepe asiyetulia golini akifanya vituko na kuigharimu timu. Balola ni mkurupukaji na asiyejua muda gani afanye nini, muda gani asifanye.
Siko hapa kuongelea Mapinduzi Cup bali mashindano makubwa ambayo Namungo mnashiriki, chukueni hatua kabla hamjaangushwa shimoni na Balola.
Wana golikipa Bora kuliko yeyote VPL Nahimana ambaye ni Burundi 1
 
Goli la kwanza aliyeharibu ni beki ,yeye alishamwona kipa ametoka halafu anaugonga tena kwa kichwa kurudishia ,kwa upande wangu Abarola amejitahidi mno
 
Uto walijidanganya Simba atazuiliwa na Namungo kuingia fainali, tayari mnyama anakuja huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Goli la kwanza aliyeharibu ni beki ,yeye alishamwona kipa ametoka halafu anaugonga tena kwa kichwa kurudishia ,kwa upande wangu Abarola amejitahidi mno
Katika mafunzo ya ukipa ni kosa kubwa kipa kufuata mpira ambao beki na mshambuliaji wanawania na wewe kama kipa huna uhakika wa zaidi ya 50% kuuwahi. Ukiingilia utakutana na hali kama hiyo ya kutudishiwa mpira halafu unapishana nao.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom