Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Leo ni mechi ya pili mfululizo namuona huyu kipa wenu Mapepe asiyetulia golini akifanya vituko na kuigharimu timu. Balola ni mkurupukaji na asiyejua muda gani afanye nini, muda gani asifanye.
Siko hapa kuongelea Mapinduzi Cup bali mashindano makubwa ambayo Namungo mnashiriki, chukueni hatua kabla hamjaangushwa shimoni na Balola.
Siko hapa kuongelea Mapinduzi Cup bali mashindano makubwa ambayo Namungo mnashiriki, chukueni hatua kabla hamjaangushwa shimoni na Balola.