Namungo FC kudondokea kundi la kifo Shirikisho

Hili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?

Kwenye hatua Kama hii hakuna tena vibonde kwasababu timu zote zilizoingia hapo ni bora, hii ndio maana halisi ya 16 Bora.

Angalia Simba timu alizo nazo kwenye group lake, yaani hapo hakuna kuogopa ni kupambana tu ili uende robo fainal lazima Kwanza uzitoe timu ngumu Kama hizo hakuna namna.

Kama unaogopa kucheza na mabingwa kama hao basi baki tu mchangani huko.
 
Hili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?
Simba kwa uwekezaji waliofanya atleast unaleta hope, kwa Namungo hapana, tusidanganyane, na hapo wala hakuna cha mpira unadunda, huo mpira huwa unadunda kwa asiejua, anaejua yeye anaamua udundie wapi.
 
Mawazo ya kimasikini Kama haya mimi huwa yananiudhi sana, yaani unakubali kushindwa kubla hujashindana?

Hizo timu hapo zina nini cha ajabu mpaka tushindwe kuzifunga?

Narudia tena we Kama unaogopa kucheza na mabingwa basi haya mashindano hayakuhusu sababu huku hakuna timu rahisi hata moja.
 
Mawazo ya kimasikini Kama haya mimi huwa yananiudhi sana, yaani unakubali kushindwa kubla hujashindana?....
Kwa taarifa yako tu mabingwa hawako shirikisho wako klabu bingwa, na kama huwezi kukubali uwezo wa mpinzani wako ukakaa unajipa moyo tu wa uzalendo feki wewe ni kipofu usiejua chochote kwenye mpira, tuachie tunaoujua, mpira sio siasa na kelele zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…