Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajua uwezo wa Namungo?Hapa muhimu wakachukue hizo pesa za kuingia hatua ya makundi tu, habari ya robo fainali tusahau tu kwakweli, yaani hawa CAF wanajua kutukatisha tamaa khaa..
Umeandika kitu gani wewe? timu za kawaida!, unaujua mpira wa Afrika au unaishiaga kusoma majina ya timu tu? ulizaga ujibiwe.Wewe unajua uwezo wa Namungo?
Hizo timu mbona zote za kawaida tu?
Kwani Namungo akiingia hatua hiyo anachochote cha kupoteza kwenye hilo kundi?
Namungo baada ya mashindano ya mwaka huu,naamini wakiwa na uongozi mzuri, msimu ujao hawatakamatika kwa LIGI YA NDANI.Hapa muhimu wakachukue hizo pesa za kuingia hatua ya makundi tu, habari ya robo fainali tusahau tu kwakweli, yaani hawa CAF wanajua kutukatisha tamaa khaa..
Kabisa ikiwa watajiweka mbali na fitina za ovyo za soka la bongoNamungo baada ya mashindano ya mwaka huu,naamini wakiwa na uongozi mzuri, msimu ujao hawatakamatika kwa LIGI YA NDANI.
Kuna kitu gani cha kuwazuia Namungo kuzifunga hizo team hapa nyumbani?Umeandika kitu gani wewe? timu za kawaida!, unaujua mpira wa Afrika au unaishiaga kusoma majina ya timu tu? ulizaga ujibiwe.
Simba kwa uwekezaji waliofanya atleast unaleta hope, kwa Namungo hapana, tusidanganyane, na hapo wala hakuna cha mpira unadunda, huo mpira huwa unadunda kwa asiejua, anaejua yeye anaamua udundie wapi.Hili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?
Namungo nae hajawahi kupoteza mechi ya nyumbani mashindano ya CAFPyramids hajawahi kupoteza mechi ya ugenini michuano ya CAF
Nkana hajawahi kupoteza mechi nyumbani mashindano ya CAF
Hakuna unachokijua kwenye mpira kama unaamini kuna uchawi.Kwa imani za kishirikina za mpira unadunda inawezekana.
Mawazo ya kimasikini Kama haya mimi huwa yananiudhi sana, yaani unakubali kushindwa kubla hujashindana?Simba kwa uwekezaji waliofanya atleast unaleta hope, kwa Namungo hapana, tusidanganyane, na hapo wala hakuna cha mpira unadunda, huo mpira huwa unadunda kwa asiejua, anaejua yeye anaamua udundie wapi.
Namungo hana cha kupoteza kwa hiyo ana nafasi nzuri ya kusonga mbele.Hana presha.Sisemi mengi, kila mwenye macho na ajionee.View attachment 1709239
Kwa taarifa yako tu mabingwa hawako shirikisho wako klabu bingwa, na kama huwezi kukubali uwezo wa mpinzani wako ukakaa unajipa moyo tu wa uzalendo feki wewe ni kipofu usiejua chochote kwenye mpira, tuachie tunaoujua, mpira sio siasa na kelele zake.Mawazo ya kimasikini Kama haya mimi huwa yananiudhi sana, yaani unakubali kushindwa kubla hujashindana?....