Namungo FC kudondokea kundi la kifo Shirikisho

Huu sasa ndio umasikini wa fikra wenyewe ninao usema, hebu nitolee ujinga hapa nenda kwenye kampuni za kubet huko ukabet vizuri.

Wanaume hatuogopi majina tunaenda kupambana na matokeo tutapata tu.
 
Huu sasa ndio umasikini wa fikra wenyewe ninao usema, hebu nitolee ujinga hapa nenda kwenye kampuni za kubet huko ukabet vizuri.

Wanaume hatuogopi majina tunqenda kupambana na matokeo tutapata tu.
Kelele tu, hamna unachoamini zaidi ya ndoto.
 
Mda mwingine ni heli ukae kimya na kusoma mawazo ya watu, ni nzuri ki afya pia.

Nikuulize swali moja tu, kuna mtu yeyote alikuwa anawaza kuwa Namungo inaweza ingia ata hatua ya makundi?
Simba kwa uwekezaji waliofanya atleast unaleta hope, kwa Namungo hapana, tusidanganyane, na hapo wala hakuna cha mpira unadunda, huo mpira huwa unadunda kwa asiejua, anaejua yeye anaamua udundie wapi.
 
Kwa taarifa yako tu mabingwa hawako shirikisho wako klabu bingwa, na kama huwezi kukubali uwezo wa mpinzani wako ukakaa unajipa moyo tu wa uzalendo feki wewe ni kipofu usiejua chochote kwenye mpira, tuachie tunaoujua, mpira sio siasa na kelele zake.
ukiongelea mpira Kwa nyanja hii bila upenzi unaoleta upofu basi utatukanwa na wenye timu zao hata kama naww ni shabiki wa hiyo timu. unazi ukizidi, wabongo huwa chochote utachoongea kilicho tofauti na mawazo yao wanakuona mbaya...
 
Nani alitarajia namungo wanaweza kuitoa de agosto iliyowahi kuitoa Tp mazembe semi fainal? Nkana wanaizidi nini de agosto hadi useme namungo ataondoka na points 0 kwenye kundi lao?
Mautopolo fc Yana wivu achana nayo hayajawahi fika popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…