kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,450
- 2,013
ndio, kwani hao si ndio wale 16 bora wa Africa?Mkubwa kama hao kwenye kundi lake?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio, kwani hao si ndio wale 16 bora wa Africa?Mkubwa kama hao kwenye kundi lake?!
Huu sasa ndio umasikini wa fikra wenyewe ninao usema, hebu nitolee ujinga hapa nenda kwenye kampuni za kubet huko ukabet vizuri.Naona kelele zinakuwa mingi mpk unaandika gazeti, sasa to cut long story short tufanye hivi, mimi nasema Namungo haendi robo fainali nipo tayari kuweka 50,000/= tshs, wewe kama unaamini ataenda na huo uzalendo wako weka huo mzigo, ufanyike utaratibu humu ndani mzuri siku ikifika anaestahili apewe chake.
Kelele tu, hamna unachoamini zaidi ya ndoto.Huu sasa ndio umasikini wa fikra wenyewe ninao usema, hebu nitolee ujinga hapa nenda kwenye kampuni za kubet huko ukabet vizuri.
Wanaume hatuogopi majina tunqenda kupambana na matokeo tutapata tu.
Simba kwa uwekezaji waliofanya atleast unaleta hope, kwa Namungo hapana, tusidanganyane, na hapo wala hakuna cha mpira unadunda, huo mpira huwa unadunda kwa asiejua, anaejua yeye anaamua udundie wapi.
haya buana mshindi wewe mtu mzimaMnapenda kujiliwaza kama watoto.
Pyramids hajawahi kupoteza mechi ya ugenini michuano ya CAF
Nkana hajawahi kupoteza mechi nyumbani mashindano ya CAF
ukiongelea mpira Kwa nyanja hii bila upenzi unaoleta upofu basi utatukanwa na wenye timu zao hata kama naww ni shabiki wa hiyo timu. unazi ukizidi, wabongo huwa chochote utachoongea kilicho tofauti na mawazo yao wanakuona mbaya...Kwa taarifa yako tu mabingwa hawako shirikisho wako klabu bingwa, na kama huwezi kukubali uwezo wa mpinzani wako ukakaa unajipa moyo tu wa uzalendo feki wewe ni kipofu usiejua chochote kwenye mpira, tuachie tunaoujua, mpira sio siasa na kelele zake.
Mayanga utopolo fc yanaona wivu tuu hakuna kituNamungo nae hajawahi kupoteza mechi ya nyumbani mashindano ya CAF
Utopolo fc unawangaHilo kundi NAMUNGO Hapati ushindi hata mechi 1 akijitahidi sana ataambulia sare 1 or 2 tu Hawana uwezo wa kuchukua point 3 kwa timu yoyote hapo.
Mautopolo fc Yana wivu achana nayo hayajawahi fika popoteNani alitarajia namungo wanaweza kuitoa de agosto iliyowahi kuitoa Tp mazembe semi fainal? Nkana wanaizidi nini de agosto hadi useme namungo ataondoka na points 0 kwenye kundi lao?
Mbona naona kuna timu tano?
Namungo anaenda kumtoa DE AGOSTO.. hii timu ni level ya Pyramid kwenye kundi hilo.Hilo kundi NAMUNGO Hapati ushindi hata mechi 1 akijitahidi sana ataambulia sare 1 or 2 tu Hawana uwezo wa kuchukua point 3 kwa timu yoyote hapo.