mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Hajawahi kupoteza mechi yoyote.Namungo nae hajawahi kupoteza mechi ya nyumbani mashindano ya CAF
Waongeze bidii,na uwekezaji
Namungo na yeye hajawaji poteza mecho nyumbaniPyramids hajawahi kupoteza mechi ya ugenini michuano ya CAF
Nkana hajawahi kupoteza mechi nyumbani mashindano ya CAF
Acha kujifariji hapo Namungo hashindi hata game moja nyumbani na ugeniniWewe unajua uwezo wa Namungo?
Hizo timu mbona zote za kawaida tu?
Kwani Namungo akiingia hatua hiyo anachochote cha kupoteza kwenye hilo kundi?
[emoji38][emoji38][emoji38] kwani mpira umeshachezwa?Acha kujifariji hapo Namungo hashindi hata game moja nyumbani na ugenini
Watz kazi sana, unafuzu makundi unataka upangwe na Geita, Manyema ranger's, Toto Africa ?Hapa muhimu wakachukue hizo pesa za kuingia hatua ya makundi tu, habari ya robo fainali tusahau tu kwakweli, yaani hawa CAF wanajua kutukatisha tamaa khaa.
Usilete u motivational speaker kwenye mpira kwa uwekezaji gani Namungo acheze na Pyramid, Raja Casablanca, Nkana? hamja jifunza CHAN, AFCON, na under 20 ?Ili Tanzania isonge mbele kimaendeleo kuanzia kiuchumu hadi kisoka lazima mawatu mapuuzi Kama mleta mada wachomwe moto.
Haiwezekani yaani mawazo ya kushindwa shindwa tu.
Kama wachambuzi wengi wa kibongo walivyo kila siku utasikia hata hapo walipofika tuwapongoze majinga sana
Usijidanyanye hapo Namungo wame archive ya kutosha kwa uwezo upi anaweza kusimama mbele ya Pyramid? kumbuka hata njia alizo pita mpka kufika hapo ni rahisi ukweli uta jidhirisha soon[emoji38][emoji38][emoji38] kwani mpira umeshachezwa?
Njia rahisi kivipi ?Usijidanyanye hapo Namungo wame archive ya kutosha kwa uwezo upi anaweza kusimama mbele ya Pyramid? kumbuka hata njia alizo pita mpka kufika hapo ni rahisi ukweli uta jidhirisha soon
Angalia game zake mpka kufika hapo kupita aje utapata jibu, hata hao wa Angola basi tu walijichanganya wenyeweNjia rahisi kivipi ?
Namungo siyo timu dhaifu kama Yanga yenu.Angalia game zake mpka kufika hapo kupita aje utapata jibu, hata hao wa Angola basi tu walijichanganya wenyewe
Topic hapa ni Namungo unge stick kwenye topic ningekuona mtu wa maana, hata kama Yanga ni mbovu sio tunacho jadili hapaNamungo siyo timu dhaifu kama Yanga yenu.
Waliweza kupambana mpaka hapo walipofika kwa ushindi home and away.
Sasa udhaifu wao uko wapi ?
Kubeza timu zenye mafanikio kuliko nyinyi kwenye michuano ya kimataifa si ndiyo Faraja yenu.Topic hapa ni Namungo unge stick kwenye topic ningekuona mtu wa maana, hata kama Yanga ni mbovu sio tunacho jadili hapa
Mi nashangaa alafu wale binadamu tu hawana cha zaidi kinachowaua hawa simba na yanga ni vision ya wachezaji wakitoka huko kijijini ndoto zao ni kucheza simba na yangu tu hawa focus ulaya lakini hawa watoto wa namungo wanataka kucheza jihadi ili waonekane huko duniani waende ulaya na watafanikiwaHili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?
Kwenye hatua Kama hii hakuna tena vibonde kwasababu timu zote zilizoingia hapo ni bora, hii ndio maana halisi ya 16 Bora.
Angalia Simba timu alizo nazo kwenye group lake, yaani hapo hakuna kuogopa ni kupambana tu ili uende robo fainal lazima Kwanza uzitoe timu ngumu Kama hizo hakuna namna.
Kama unaogopa kucheza na mabingwa kama hao basi baki tu mchangani huko.
Usiogope ukubwa wa samaki mkuu uliza bei zile timu zinapigika tu cha muhim kujiaminiHilo kundi NAMUNGO Hapati ushindi hata mechi 1 akijitahidi sana ataambulia sare 1 or 2 tu Hawana uwezo wa kuchukua point 3 kwa timu yoyote hapo.
Tuombe uzima mda utasemaKubeza timu zenye mafanikio kuliko nyinyi kwenye michuano ya kimataifa si ndiyo Faraja yenu.