Namungo FC kudondokea kundi la kifo Shirikisho

Namungo FC kudondokea kundi la kifo Shirikisho

Wewe unajua uwezo wa Namungo?

Hizo timu mbona zote za kawaida tu?

Kwani Namungo akiingia hatua hiyo anachochote cha kupoteza kwenye hilo kundi?
Acha kujifariji hapo Namungo hashindi hata game moja nyumbani na ugenini
 
Hapa muhimu wakachukue hizo pesa za kuingia hatua ya makundi tu, habari ya robo fainali tusahau tu kwakweli, yaani hawa CAF wanajua kutukatisha tamaa khaa.
Watz kazi sana, unafuzu makundi unataka upangwe na Geita, Manyema ranger's, Toto Africa ?
 
Ili Tanzania isonge mbele kimaendeleo kuanzia kiuchumu hadi kisoka lazima mawatu mapuuzi Kama mleta mada wachomwe moto.
Haiwezekani yaani mawazo ya kushindwa shindwa tu.

Kama wachambuzi wengi wa kibongo walivyo kila siku utasikia hata hapo walipofika tuwapongoze majinga sana
Usilete u motivational speaker kwenye mpira kwa uwekezaji gani Namungo acheze na Pyramid, Raja Casablanca, Nkana? hamja jifunza CHAN, AFCON, na under 20 ?
 
[emoji38][emoji38][emoji38] kwani mpira umeshachezwa?
Usijidanyanye hapo Namungo wame archive ya kutosha kwa uwezo upi anaweza kusimama mbele ya Pyramid? kumbuka hata njia alizo pita mpka kufika hapo ni rahisi ukweli uta jidhirisha soon
 
Namungo siyo timu dhaifu kama Yanga yenu.

Waliweza kupambana mpaka hapo walipofika kwa ushindi home and away.

Sasa udhaifu wao uko wapi ?
Topic hapa ni Namungo unge stick kwenye topic ningekuona mtu wa maana, hata kama Yanga ni mbovu sio tunacho jadili hapa
 
Hili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?

Kwenye hatua Kama hii hakuna tena vibonde kwasababu timu zote zilizoingia hapo ni bora, hii ndio maana halisi ya 16 Bora.

Angalia Simba timu alizo nazo kwenye group lake, yaani hapo hakuna kuogopa ni kupambana tu ili uende robo fainal lazima Kwanza uzitoe timu ngumu Kama hizo hakuna namna.

Kama unaogopa kucheza na mabingwa kama hao basi baki tu mchangani huko.
Mi nashangaa alafu wale binadamu tu hawana cha zaidi kinachowaua hawa simba na yanga ni vision ya wachezaji wakitoka huko kijijini ndoto zao ni kucheza simba na yangu tu hawa focus ulaya lakini hawa watoto wa namungo wanataka kucheza jihadi ili waonekane huko duniani waende ulaya na watafanikiwa
 
Hilo kundi NAMUNGO Hapati ushindi hata mechi 1 akijitahidi sana ataambulia sare 1 or 2 tu Hawana uwezo wa kuchukua point 3 kwa timu yoyote hapo.
Usiogope ukubwa wa samaki mkuu uliza bei zile timu zinapigika tu cha muhim kujiamini
 
Back
Top Bottom