MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa aina ya Complacency iliyoko Yanga SC kwa sasa endapo tu Namungo FC wataitumia vyema Kwanza kwa Kuwahesabia Yanga SC, kucheza kwa Nidhamu na Mikakati, wakiacha Utoto na Upuuzi ambao Wachezaji wengi wakicheza na Vilabu vya Simba na Yanga hua wanao, wakicheza Kitimu, Wakijiamini na Kupambana kweli naona leo Namungo FC anashinda au anatoka Sare na Yanga SC pale Benjamin Mkapa Stadium Temeke Mkoani ( Jijini ) Dar es Salaam.