SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kwahiyo fitna huwa ipo Yanga akishinda tu? Wengine wakishinda ni uwezo wao?Leo kama hakuna fitina ya gongo wazi Namungo FC anashinda mapema sana, na kesho Simba anamfunga Orlando pirates goli mbili kwa moja.
Na fitna hyo ya Yanga ina mahusiano gani na ya Simba kwa Orlando? Ebu tuliza presha mzee.