MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tena 100% Ndugu na nakuomba itunze hii post yangu na huu Uzi pia. Kama Namungo FC watazingatia niliyoyasema hapa Watashinda au watatoka Sare ila Yanga SC leo hashindi.Aisee! Unauhakika?!..
Siko hapa Kubishana ila kwa Kujiamini kabisa nina uhakika leo ama Yanga SC anafungwa au anatoka Sare na Namungo FC ila Kushinda hatoshinda.Namungo haiwezi kasi ya Yanga SC
Hii mechi ya muhimu sana kwa Yanga SC kukusanya point za ubingwa usitegemee itakuwa legelege. Bila shaka wewe ni mmoja wa wale wanaoota simba kutwaa ubingwa ligi kuuSiko hapa Kubishana ila kwa Kujiamini kabisa nina uhakika leo ama Yanga SC anafungwa au anatoka Sare na Namungo FC ila Kushinda hatoshinda.
Tunza hii post yangu tafadhali na tutaonana Usiku wa Saa 3 Mechi yao itakapomalizika.
Afadhari ww umesema miongoni mwa watanzania mimi simoPunguza kuwashwa makalio, Hayati Magufuli ataendelea kuishi miongoni mwa watanzania wazalendo.
Wewe kima mmoja usiye na mbele wala nyuma hata usipompenda huna madhara.
Maneno ya kolo likiwa limeshiba ugali asubuhiLeo kama hakuna fitina ya gongo wazi Namungo FC anashinda mapema sana, na kesho Simba anamfunga Orlando pirates goli mbili kwa moja.
Moderator tunajua mmefuta matusi yaliyoandikwa na MINOCYCLINE na hajapata adhabu yoyote. Au huyu jamaa MINOCYCLINE ni mmoja wa Moderator
Ww Jamaa Hauko Serious [emoji23][emoji23][emoji23]Leo kama hakuna fitina ya gongo wazi Namungo FC anashinda mapema sana, na kesho Simba anamfunga Orlando pirates goli mbili kwa moja.
Alafu mwisho wa siku wanabeba points 3.Kama kawaida ya mechi za Utopolo referee atakuwa man of the match leo.
Siko hapa Kubishana ila kwa Kujiamini kabisa nina uhakika leo ama Yanga SC anafungwa au anatoka Sare na Namungo FC ila Kushinda hatoshinda.
Tunza hii post yangu tafadhali na tutaonana Usiku wa Saa 3 Mechi yao itakapomalizika.