Namungo FC mkijiamini, mkijitambua, mkiacha Utoto na kama baadhi yenu hamjahongwa nina uhakika leo Mnashinda au mnatoka Sare

Leo kama hakuna fitina ya gongo wazi Namungo FC anashinda mapema sana, na kesho Simba anamfunga Orlando pirates goli mbili kwa moja.
Kwahiyo fitna huwa ipo Yanga akishinda tu? Wengine wakishinda ni uwezo wao?

Na fitna hyo ya Yanga ina mahusiano gani na ya Simba kwa Orlando? Ebu tuliza presha mzee.
 
Yani mnakaa kumtumainia Namungo awasaidie? [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe yalishakushinda mpaka unaomba majirani?
 
Hii mechi ya muhimu sana kwa Yanga SC kukusanya point za ubingwa usitegemee itakuwa legelege. Bila shaka wewe ni mmoja wa wale wanaoota simba kutwaa ubingwa ligi kuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna timu ya kuifunga Yanga.We jiandae uone moto wa Yanga April 30 siyo kuwabebesha wengine gunia la misumari
 
Tatizo namungo ina wachezaji wengi sana waliopitia yanga watazingua tu kama mechi iliyopita.
 
Washaleta utoto huko beki anashindwa kuokoa mpira unaopita mbele yake kabisa [emoji23]
 
Yule kolo aliyefungua huu uzi yuko wapi? Akija mwambien kimbunga kimepita Namungo FC. Bado nyau SC waandae kutoa point 3 za kumsindikiza bingwa
 
Tatizo namungo ina wachezaji wengi sana waliopitia yanga watazingua tu kama mechi iliyopita.
Kwaiyo wewe kolo kwa akili zako timamu kabisa ulitegemea namungo amfunge yanga leo? Na timu zote ambazo zimetembezewa kichapo na yanga zina wachezaji wengi waliopita yanga eti? Na bahati yao walikuwa wanapigwa 5 washukuru tu umakini wa yanga kwenye kumalizia nafasi umekuwa mdogo
 
Siko hapa Kubishana ila kwa Kujiamini kabisa nina uhakika leo ama Yanga SC anafungwa au anatoka Sare na Namungo FC ila Kushinda hatoshinda.

Tunza hii post yangu tafadhali na tutaonana Usiku wa Saa 3 Mechi yao itakapomalizika.
Samahan mkuu hii post tuitunze au tuifute?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Siko hapa Kubishana ila kwa Kujiamini kabisa nina uhakika leo ama Yanga SC anafungwa au anatoka Sare na Namungo FC ila Kushinda hatoshinda.

Tunza hii post yangu tafadhali na tutaonana Usiku wa Saa 3 Mechi yao itakapomalizika.
Heheheh, Ngoja Tuitunze Bhn [emoji1787]
 
Hivi Simba siku ya ngao ya jamii mlihongwa kiasi gani??
 
Siko hapa Kubishana ila kwa Kujiamini kabisa nina uhakika leo ama Yanga SC anafungwa au anatoka Sare na Namungo FC ila Kushinda hatoshinda.

Tunza hii post yangu tafadhali na tutaonana Usiku wa Saa 3 Mechi yao itakapomalizika.
Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…