Namungo kurudiana na De agosto leo. Je, Waangola watapindua meza?

Namungo kurudiana na De agosto leo. Je, Waangola watapindua meza?

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105
20210225_115728.jpg
Baada ya kutoa kichapo cha goli 6-2 katika Dimba la Azam Complex , Namungo hii leo anashuka tena dimbani kumalizia mchezo wa mwisho na De Agosto wa hatua hii ambapo mshindi wa jumla atasonga mbele kwenye hatua ya makundi.

Mchezo huo utachezwa saa 11 jioni katika Dimba la Azam Complex Chamanzi ambapo Namungo atakuwa nyumbani.

Ikiwa makundi tayari yamekwisha pangwa mshindi wa matokeo ya ujumla atakwenda kuungana na Raja Club Athletic , Pyramids FC na Nkana FC katika kundi D.
 
Namungo wacheze mpira wa kumaliza hii mechi ili wagange yajayo, wawe na nidhamu ya hali ya juu kwasababu kwenye soka lolote linaweza kutokea.
 
Ikiwa kumebaki saa moja na nusu mechi kuanza bado CD 1o de Agosto bado wanalalamika sana.

Tusubiri mtanange uanze na hatimaye dakika 90' zimalizike.

Zini and Macaia join the list of alleged positives​

By Meike Neves February 25, 2021 21
Zini and Macaia join the list of alleged positives

Unfortunately, Tanzanians keep surprising us ... with truly surreal scenes, worthy of the plot of a terrible comedy.

It is incredible how a country that does not believe in the pandemic, ignores international standards for preventing and combating COVID-19, makes bold use of it to weaken sporting opponents, with the collusion of state authorities. All tests are processed in a single laboratory, because the rest are prohibited from doing so, in accordance with higher orders.

Zini and Macaia, also came to be identified as a threat to the designs of Namungo and, surgically, the gods (or demons?) Of COVID-19 went out of their way to add them to previously removed players.

The Tanzanian authorities and Namungo FC are not at all interested in respecting sporting ethics and truth. With this kind of attitudes and premeditated acts, it is a case to say that Tanzanian fans can even dream of the possibility of their teams reaching the top of continental football to aspire to the conquest of the CAF Cup and even the AFRICAN CHAMPIONS LEAGUE.

Poor African football ... It should be noted that this was not an isolated case, other teams have already felt the effects of this insidious action. We are left with the hope that CAF will reflect on whether this is the path that is desired for continental football and for the dignity and moralization of competitions played under its umbrella.
Source : Clube Desportivo 1º de Agosto - Zini e Macaia integram a lista de alegados positivos
 
25 .02.2021
Dar es Salaam, Tanzania

UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI YA LEO

#LIVE: NAMUNGO FC VS PRIMEIRO DE AGOSTO FC MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA 25.02.2021



Source : mbiu ya sauti kuu tv
 
Hongereni sana Namungo kwa kufuata nyendo za ndugu zenu Yanga kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho!
 
Namungo na yanga hawana undugu na wanmgekuwa wamefata nyayo za utopolo sasa hivi wangekuwa out
Sisi Watanzania wote ni dugu moja!! Wewe iko mutu ya Bombay, au unayesema sisi siyo dugu moja?

Au hufahamu Yanga ndiyo timu pekee chini iliyoingia hatua ya Makundi mara mbili Kombe la Shirikisho? Namungo ni timu ya pili baada ya Wananchi.
 
Sisi Watanzania wote ni dugu moja!! Wewe iko mutu ya Bombay, au unayesema sisi siyo dugu moja?

Au hufahamu Yanga ndiyo timu pekee chini iliyoingia hatua ya Makundi mara mbili Kombe la Shirikisho? Namungo ni timu ya pili baada ya Wananchi.
Yangekuwa hayo yanga wangemkatalia Said Maulid kuwa mkalimani wa wageni wa Namungo
 
Back
Top Bottom