denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Nimeona Nkana FC ya Zambia imeshawasili jijini Cairo Misri kwaajili ya kuvaana na wenyeji wao Pyramids FC siku ya Jumatano tarehe 10 March 2020, saa 12:00 jioni za Misri.
Nikawakumbuka ndugu zetu wa Namungo wao vipi maandalizi yao na mechi yao na Wamorocco wataanzia nyumbani au ugenini? Na itakuwa lini?
Nikawakumbuka ndugu zetu wa Namungo wao vipi maandalizi yao na mechi yao na Wamorocco wataanzia nyumbani au ugenini? Na itakuwa lini?