Namungo mechi zenu za Shirikisho mnaanza lini, mbona kimya?

Namungo mechi zenu za Shirikisho mnaanza lini, mbona kimya?

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Nimeona Nkana FC ya Zambia imeshawasili jijini Cairo Misri kwaajili ya kuvaana na wenyeji wao Pyramids FC siku ya Jumatano tarehe 10 March 2020, saa 12:00 jioni za Misri.

Nikawakumbuka ndugu zetu wa Namungo wao vipi maandalizi yao na mechi yao na Wamorocco wataanzia nyumbani au ugenini? Na itakuwa lini?
 
Niliona ratiba wanacheza Jumatano saa moja jioni,ugenini against Raja Casablanca.
 
Wataumana na Raja casablanca jumatano saa moja usiku kwa saa za afrika ya mashariki..
 
Ok, ila wamepoa sana, au hawana msemaji wa klabu yao.
 
Nimeona Nkana FC ya Zambia imeshawasili jijini Cairo Misri kwaajili ya kuvaana na wenyeji wao Pyramids FC siku ya Jumatano tarehe 10 March 2020, saa 12:00 jioni za Misri.

Nikawakumbuka ndugu zetu wa Namungo wao vipi maandalizi yao na mechi yao na Wamorocco wataanzia nyumbani au ugenini? Na itakuwa lini?
Namungo Wako serious , Tayari Wako Morocco
 
Nina uhakika na Namungo fc japo wamekosa msemaji wa timu kama yule mwenye bifu na khanga kutoka wasafi fm.
 
Ok, ila wamepoa sana, au hawana msemaji wa klabu yao.
Ni kwa sababu hiyo Namungo ni katimu tu kadogo na kenye mashabiki wachache. Ingekuwa ni Yanga, Timu ya Wananchi! Muda huu shamrashamra zingekuwa zimeshaanza kuelekea huo mchezo!

Anyway, wavumilieni kidogo tu maana mwaka ujao watarudi kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom