Namungo wameshtakiwa caf wanasubiri rufaa ya ile timu ya angola
Wewe ni Ukoo wa Savimbi??Namungo wameshtakiwa caf wanasubiri rufaa ya ile timu ya angola
Namungo Wako serious , Tayari Wako MoroccoNimeona Nkana FC ya Zambia imeshawasili jijini Cairo Misri kwaajili ya kuvaana na wenyeji wao Pyramids FC siku ya Jumatano tarehe 10 March 2020, saa 12:00 jioni za Misri.
Nikawakumbuka ndugu zetu wa Namungo wao vipi maandalizi yao na mechi yao na Wamorocco wataanzia nyumbani au ugenini? Na itakuwa lini?
Ni kwa sababu hiyo Namungo ni katimu tu kadogo na kenye mashabiki wachache. Ingekuwa ni Yanga, Timu ya Wananchi! Muda huu shamrashamra zingekuwa zimeshaanza kuelekea huo mchezo!Ok, ila wamepoa sana, au hawana msemaji wa klabu yao.