Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hata wewe unaweza kutangazwa leo eFM kuwa ni mwanachama wa Yanga ilihali huna kadi bali ni 🐸 wa kuruka ruka kudandia udaku usioujua.Wanithibitishie kwa hiyo eFM waongo? Kolo FC Rage hakukosea, tokea lini kadi number ya tu ukaweka hadharani? Kwa hiyo eFM ni Database inajua namba zote za mashabiki wa Yanga.
Yaani huo ni utahila wa kubishana na chomo cha habari ambao mimi sina.
Efm na wewe wote mna wivu wa kike wajinga nyie