Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Wanithibitishie kwa hiyo eFM waongo? Kolo FC Rage hakukosea, tokea lini kadi number ya tu ukaweka hadharani? Kwa hiyo eFM ni Database inajua namba zote za mashabiki wa Yanga.

Yaani huo ni utahila wa kubishana na chomo cha habari ambao mimi sina.
Hata wewe unaweza kutangazwa leo eFM kuwa ni mwanachama wa Yanga ilihali huna kadi bali ni 🐸 wa kuruka ruka kudandia udaku usioujua.

Efm na wewe wote mna wivu wa kike wajinga nyie
 
Hata wewe unaweza kutangazwa leo eFM kuwa ni mwanachama wa Yanga ilihali huna kadi bali ni 🐸 wa kuruka ruka kudandia udaku usioujua.

Efm na wewe wote mna wivu wa kike wajinga nyie
Sasa nyie na Yanga nani alidendandia vitu vivyo wahusu,kufungwa kafungwa Singida sasa wewe Kikumacho nini? Mnashobokea mechi za wanaume,tulieni zamu yenu tuwanunue kama malaya wa Kitambaa Cheupe,mchezee mashine kwa mara ya tano.
 
Unajua kunikamatia makolo
Mtu mmoja ila imewapa hoja Sasa wote wamekimbia Uzi
 
Ushajiuliza kwa nini haupo kwenye huo mkeka wa wanaume kumi na sita? Hebu tupe sababu kwa nini wewe haupo.
Kampikie mumeo ibenge ulale
Labda utakuwa na akili kusoma hayo makundi yakoje nadhani mpaka sasa hujasoma hiyo copy zaidi ya kuteswa na mwiko wa ibenge
 
Halafu kule kulikuwa na wanaume, huko mlipo kuwepo nyie kwa Mujibu wa Kaduguda ni michuano ya kike, sasa sijajua kwa nini Kaduguda alisema hivyo au mnacheza huku mkiwa mmevaa shanga na bikini.
 
Sisi Yanga ni wadandiaji wa vitu visivyo tuhusu, ni kama Singida tu sasa wewe Kikuumacho nini? Tunashobokea mechi za wanaume,tunanunuliwa kama malaya wa Kitambaa Cheupe, tunachezea na kulamba mashine kila mara, utuache na umalaya wetu.
Kumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pamoja na yote uwe na aibu pia kwa hayo usemayo kwamba kafaidika na matokeo ya mezani ndani ya miaka mitatu lakini ndio miaka hiyo Afrika imeitambua Yanga na hata zile ranks za Caf zimepanda kwa miaka hiyo..
Kutoka nafasi ya 77 huko mpaka ilipo sasa..
Kwaiyo kumbe kimataifa ilifanya poa na kutoa upinzani chanya hasa na hata kufanikiwa kucheza fainali ya kombe la shirikisho Afrika..
 
Kaka usipoteze muda na mpira wa bongo, hakuna Cha maana, ligi haina ushindani, ushindani hupo kwenye maneno TU...
Nakubaliana na wewe kuwa ligi ya Tz ni maigizo tu. Halafu inaonekana NI LAZIMA KOMBE LICHUKULIWE NA TIMU ZA YANGA NA SIMBA.
 
NA wew ni mwanaume? Umefikia hatua gani huko.kimataifa
Kwani nyie hamkuvalishwa shanga na motsepe huko kwenye michuano ya kike mkatamba nazo mpaka.ikulu na hadi sasa mnazo hizo shanga?
Usilete porojo za kimwiko nyuma najua nabishana na chizi aliejeruhiwa na mwiko nyuma
Msikilize mmoja kati ya watu wenye akili hapo mwiko nyuma ambae ni wa kwanza halafu mzee manara wapili
 
Attachments

  • 5968465-c7cd1c82bde7bfcddf28feaf8bb49904.mp4
    1.1 MB
Ushajiuliza kwa nini haupo kwenye huo mkeka wa wanaume kumi na sita? Hebu tupe sababu kwa nini wewe haupo.Sio unapayuka kama umekalia bunzi la muhindi.
 
Ushajiuliza kwa nini haupo kwenye huo mkeka wa wanaume kumi na sita? Hebu tupe sababu kwa nini wewe haupo.Sio unapayuka kama umekalia bunzi la muhindi.
Mkeka upi? labda uniambie kwenye huo mkeka unalialia uko hatua gani mpaka sasa
WEwe ndo unapayuka baada ya kuteswa na ule mwiko wenu nyuma
 
Mkeka upi? labda uniambie kwenye huo mkeka unalialia uko hatua gani mpaka sasa
WEwe ndo unapayuka baada ya kuteswa na ule mwiko wenu nyuma
Wewe si umepost mkeka wa magroup, sasa kwanini ww timu yako ya Kolo fC haipo kwenye ule mkeka.Mnadadalika kama mmekalia kipisi cha chuma,wakati kupigwa kapigwa Singida.

Suburini leo mcheze na kocha wenu wa akiba.
 
Kwahiyo kule chini hujaona msimamo wa kundi simba au uwezo wako wa kufikiri umetanushwa na mwiko huko nyuma? πŸ˜‚
 
Nilikuuliza kwenye huo mkeka wa wanaume upo wapi hunijibu? Haya toa sababu kwa nini haupo kwenye huo mkeka......
Najua hujasoma maana unaumizwa na msimamo timu yako kushika nafasi ya tatu kwenye kundi na kuambulia point 8
huku munyama mukali akiwa na point 13 akimaliza nafas ya kwanza kwenye kundi lake
Mwanaume ana mwiko nyuma? πŸ˜‚

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…