Namungo na utalii wa uwindaji, Erasto Nyoni na Shiza Kichuya waongoza jeshi

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Wakati PRE-SEASON zikiendelea kwa baadhi ya timu hapa nchini zinazoshiriki ligi kuu Timu ya Namungo wao waamua kufanya UTALII WA UWINDAJI katika wilaya ya Karatu kando kando ya ziwa Eyasi waishiko Wahadzahe kabila maarufu Afrika kwa kuienzi Asili yao na ambao mabadiliko ya Teknolojia hayajaweza kuwaathiri.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…