NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Omary kaaya na huyo ndugu Thabit wanacheza namba ngapi?..au ni moja ya technical staff?.Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Sent using Jamii Forums mobile app