Omary kaaya na huyo ndugu Thabit wanacheza namba ngapi?..au ni moja ya technical staff?.Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Mimi si zungumzii magoli kama magoli izo 5,3 n.k Simba amesha fungwa.Ahaa, unazungumzia zamani, nilidhani kwa msimu huu. Kama ni zamani, Yanga ameshapigwa na Simba 6-0, 5-0, 4-1 na dozi nyingine ndogo ndogo za bao 3
DuuuYanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Aisee.! Rage apewe PhD ya heshima kwa kweliYanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Hili swali liwe linaulizwa kwa kila mechi wawe wanasema mapema kabisa. Asante mtoa hoja.Kutokana na ubora wa yanga kila ambapo mechi ya yanga inapoisha kumekua na maneno kutoka kwa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga kwamba yanga anacheza na timu dhaifu.
Baada ya kushinda goli 5 kwa mechi mbili mfululizo kwenye ligi kuu na kuwatoa al sabieh kwa jumla ya magoli 7-1 mashabiki pinzani wakasema izo timu ni dhaifu na atakapokutana na al-marrikh atapata upinzani mkali kwa maana iyo timu ina uzoefu wa michuano ya CAF ila game ya mzunguko wa kwanza yanga kashinda 2-0 na kuonesha uwezo mkubwa zaidi ya el marreick.
Kesho yanga anashuka dimbani kucheza na namungo. Kabla ya game ya kesho naomba kujua mtazamo wa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga. Je namungo ni dhaifu au sio dhaifu?
Mbumbumbu mkubwaUTOTO RAHA SANA ALAFU UKIJUA ITAKUSAIDIA NINI??????
LENGO LAKO HASA NI NINI
HILI NI JUKWAA LA MICHEZO NA SI JUKWAA LA USHABIKI ,WALA UPINZANI.
Ndio maana mnaambiwa kuwa WENYE akili Timamu ni wawili tu.
Wajua lakini hawajui kuwa Yanga ya sasa ina uwezo wa kucheza dhidi ya "club" yoyote duniani. Kwa za ndani zote zitaonekana dhaifu. Ushahidi ni Simba kufungwa magoli 2, ngao ya jamii, yaliyokataliwa, wakati ndio kwanza inajengwa na timu mpya ya ufundi.Kweli wewe ni Tui la nazi.
Club Africain kapigwa kwao
Tp Mazembe kapigwa nje ndani
Marumo kapigwa nje ndani
USMA kapigwa kwao
Rivers united kapigwa Taifa
Monastir kapigwa taifa
Real Bamako kapigwa taifa
Al Merrikh kapigwa Kigali
Nyie endelezeni propaganda ila mkija kustuka kuhusu kupiga hatua kwa Yanga, mtakuwa mmeshachelewa. Msimu uliopita mlisema shirikisho ni kwa vibonde ila klabu bingwa ndio kwa wanaume, haya Yanga makundi mguu mmoja upo ndani. Msije badilisha maneno huko mbeleni japokuwa tumejionea bingwa wa klabu bingwa akigalagazwa na bingwa kombe la vibonde.
Ukweli Ni kwamba Yanga Ni timu Bora kwa Sasa,Ila nategemea itapata changamoto humu humu kwenye ligi ya NBC........Yanga imeweza kuwekeza kuendeleza kile ilichokipata msimu uliopita,bado kwenye upande wa striker hawajapata mbadala wa Mayele.
Wewe nae hizi capital letters zinaumiza machoUTOTO RAHA SANA ALAFU UKIJUA ITAKUSAIDIA NINI??????
LENGO LAKO HASA NI NINI
HILI NI JUKWAA LA MICHEZO NA SI JUKWAA LA USHABIKI ,WALA UPINZANI.
Ndio maana mnaambiwa kuwa WENYE akili Timamu ni wawili tu.
8soon mtaanza kusema Yanga wamefanya minutes za kuweka watu wao CCL ndio maana kila mech wanashindaYanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Acha uongo mkuu ,unaweza kusaidia ushahidi?Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Ukweli humuweka mtu huruMimi sio shabiki kindakindaki wa Timu za Tanzania ila naifatiliag tu Simba kwa sana na Yanga Kwa mbalii ila kiukweli Yanga Wana mpira mzuri sana ukweli tu usemwe.
Bila wasiwasi wowoteAcha uongo mkuu ,unaweza kusaidia ushahidi?
Simba ipi hiyo! Hii hii ya pira papatu papatu!!! Kuwa serious kijana.Zote ni dhaifu kasoro Simba tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nikichoskia cedrik kaze anajieleza kwny press release ya leo, tayar NAMUNGO anakufa 3+