Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Kabwili had video tunayo, na tunatazama huko pornhub.

Nataka video za hao unawataja tuoneee, hata km iko pornhub nambie nkaoneee.

Raha ya umbea uwe na evidence, [emoji23][emoji2
20230518_151844.jpg
3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulaaniwe ndo maana mnapenda sana ulozi ndo maana timu yenu ni hovyo baadae ukiwa mzee utawaambiaje wajukuu zako kuhusu hii picha je mayele aliukuta huu mpira au ilikuwaje🤣🤣🤣🤣😂🤣😁
 
Kabwili had video tunayo, na tunatazama huko pornhub.

Nataka video za hao unawataja tuoneee, hata km iko pornhub nambie nkaoneee.

Raha ya umbea uwe na evidence, [emoji23][emoji2View attachment 27558523][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulaaniwe ndo maana mnapenda sana ulozi ndo maana timu yenu ni hovyo baadae ukiwa mzee utawaambiaje wajukuu zako kuhusu hii picha je mayele aliukuta huu mpira au ilikuwaje🤣🤣🤣🤣😂🤣
 
Ulaaniwe ndo maana mnapenda sana ulozi ndo maana timu yenu ni hovyo baadae ukiwa mzee utawaambiaje wajukuu zako kuhusu hii picha je mayele aliukuta huu mpira au ilikuwaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaletaa vitu ambavyoo sijahitajiiii.
Unakwamaa wapiiii???
 
Kutokana na ubora wa yanga kila ambapo mechi ya yanga inapoisha kumekua na maneno kutoka kwa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga kwamba yanga anacheza na timu dhaifu.

Baada ya kushinda goli 5 kwa mechi mbili mfululizo kwenye ligi kuu na kuwatoa al sabieh kwa jumla ya magoli 7-1 mashabiki pinzani wakasema izo timu ni dhaifu na atakapokutana na al-marrikh atapata upinzani mkali kwa maana iyo timu ina uzoefu wa michuano ya CAF ila game ya mzunguko wa kwanza yanga kashinda 2-0 na kuonesha uwezo mkubwa zaidi ya el marreick.

Kesho yanga anashuka dimbani kucheza na namungo. Kabla ya game ya kesho naomba kujua mtazamo wa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga. Je namungo ni dhaifu au sio dhaifu?
Sasa Namungo nayo timu? Subirini muziki wa Tabora United na Mashujaa wa kigoma, Geita Gold mine, kama hamtalazimika kuwa wapole!! Hata hivyo pamoja na udhaifu wa Namungo, bado mnaweza kuangukia pua! Mkishinda hakuna la kujisifia, mkiangukia pua ni aibu kuchapwa na mdogo!! Mmezoea kucheza na timu zisizo na kwao!
 
Sawa mkuu acha tusubiri izo game vs tabora, mashujaa na geta gold
 
Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Mawazo mgando.
 
Hata hii timu dhaifu ya Namungo huku ikicheza ikiwa na msiba mkubwa lakini bado inawasumbua sana!! Mnaweza kushinda ila kwa ushindi kiduchu!! Na mkicheza mtapoteza pointi!!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hata hii timu dhaifu ya Namungo huku ikicheza ikiwa na msiba mkubwa lakini bado inawasumbua sana!! Mnaweza kushinda ila kwa ushindi kiduchu!! Na mkicheza mtapoteza pointi!!
Hakuna timu inayopata ushindi mkubwa kila siku. Kuna siku mambo yanakataa cha muhimu kinabakia ni point 3 tu
 
Sasa Namungo nayo timu? Subirini muziki wa Tabora United na Mashujaa wa kigoma, Geita Gold mine, kama hamtalazimika kuwa wapole!! Hata hivyo pamoja na udhaifu wa Namungo, bado mnaweza kuangukia pua! Mkishinda hakuna la kujisifia, mkiangukia pua ni aibu kuchapwa na mdogo!! Mmezoea kucheza na timu zisizo na kwao!
Naitunza hii reply
 
Back
Top Bottom