Hili kundi la maajabu yaani kwenye kunddi hilo kuna timu imeshinda mechi zote na hajafungwa hata goli moja alafu kuna namungo ambaye kapigwa mechi zote na hajafunga ata goli moja.
Sasa hawa mazoezini wanafanyaga nini unajiuliza.
Wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la Africa.Kundi la namungo hata angekuwepo yanga au azam asingepata point hata moja
Mbona Al Ahly timu kubwa na imeshindwa kushinda mechi zote.Raja casablanca ni timu kubwa ndio maana imeshinda mechi zote.
Umeongea kiushabiki... Sio kisokaKundi la namungo hata angekuwepo yanga au azam asingepata point hata moja
wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la africa
Nkana angepigika mkuuKundi la namungo hata angekuwepo yanga au azam asingepata point hata moja.
Yanga mko na kipi cha kuheshimika AFRIKA achana na nje ya Bara.?Wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la Africa.
Real ... kutovuka ni 100% ila point 3,4 wangepata.Umeongea kiushabiki... Sio kisoka
Kuna asilimia 90% yasingevuka lakini point wangevuna, nkana walikuwa weupe kabisa.
Msemaji wao aliongea Sana .Hili kundi la maajabu yaani kwenye kunddi hilo kuna timu imeshinda mechi zote na hajafungwa hata goli moja alafu kuna namungo ambaye kapigwa mechi zote na hajafunga ata goli moja.
Sasa hawa mazoezini wanafanyaga nini unajiuliza.
Wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la Africa.
[emoji87][emoji87][emoji87]Wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la Africa.
Hakuna k2 kumaliza group stage bila goli hata 1.Wamejitahidi Sana.
Maana ndo mara Yao ya Kwanza hawana uzoefu.