Namungo SC hakika mwendo wameumaliza

Namungo SC hakika mwendo wameumaliza

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Kama mnavyojionea wenyewe, mpira bila uwekezaji karne hii ni kujidanganya, zile habari za mpira unadunda zilikuwa karne iliyopita.​

FB_IMG_16197612138282907.jpg
 
Hili kundi la maajabu yaani kwenye kunddi hilo kuna timu imeshinda mechi zote na hajafungwa hata goli moja alafu kuna namungo ambaye kapigwa mechi zote na hajafunga ata goli moja.

Sasa hawa mazoezini wanafanyaga nini unajiuliza.

Raja casablanca ni timu kubwa ndio maana imeshinda mechi zote
 
wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la africa

Kwenye kundi la namungo kuna timu inaitwa pramids, yanga alishawai kukutana nayo mwaka juzi... uliza kilichomkuta yanga mechi zote mbili.. tena mechi alipeleka mwanza ili pitch mbovu imsumbue pyramids .. uliza kilichompata?
 
Namungo walikuwa wanabong'oa t@qo waarabu wanajipigia tu za kutosha! 🤣
 
Namungo wala sina cha kuwadai.

Hadi hapo walipofika wapokee pongezi tu, Maana ni ushiriki wao wa kwanza wameutumia kwa kujifunza.
 
Hili kundi la maajabu yaani kwenye kunddi hilo kuna timu imeshinda mechi zote na hajafungwa hata goli moja alafu kuna namungo ambaye kapigwa mechi zote na hajafunga ata goli moja.

Sasa hawa mazoezini wanafanyaga nini unajiuliza.
Msemaji wao aliongea Sana .
Namungo wanaenda kuvunja rekodi ambayo Yanga ilishindwa kabisa mnamo mwaka 1998.
Rekodi ya kupigwa Goli 6 na Raja Casablanca.
 
Kihistoria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Kumbe historia uwa inacheza mpira
Wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la Africa.
 
Back
Top Bottom