Namungo SC hakika mwendo wameumaliza

Hivi kwa timu kama Namungo ambayo hata kwenye VPL sio wazoefu wanaenda kushiriki group stages kwa mara ya kwanza wakiwa na players ambao experience yao bado ndogo sana as wengine wametoka na timu daraja la kwanza huko unategemea waweze kubattle na Raja au Pyramids kwenye the same level? Seriously mtu ambae unajinasibu unafuatilia au kujua mpira unabeza ushiriki wao? Ama kweli ushabiki ni mtihani sana
 
Kwenye kundi la namungo kuna timu inaitwa pramids, yanga alishawai kukutana nayo mwaka juzi... uliza kilichomkuta yanga mechi zote mbili.. tena mechi alipeleka mwanza ili pitch mbovu imsumbue pyramids .. uliza kilichompata?
Umenikumbusha mbali, halafu uwanja ukaanza kuwasumbua uto wenyewe badala ya wageni!
 
Kundi la namungo hata angekuwepo yanga au azam asingepata point hata moja.
Hata Simba,si unaona hata hao Namungo tu wanaogopwa na Simba na ndio mana baba yao tff anaogopa kiwapangia mechi hadi Leo na ligi inaenda kuisha!? Maajabu hayataisha!
 
Walivorudi Namungo jana/jana kuna wachezaji ndio hawaji panda mwewe tena.
 
Kwa hyo ndo unahalalisha kufungwa mechi zote. Hauko sahihi. Vip kushindwa kupachika hata kigoli?

Kwa mshambuliaji gani wa namungo, yanga ama azam ana uwezo wa kupenya beki za raja casablanca ama pyramid kisha akafunge goli?

Mo sio mjinga kununua kina miqquissone na kuwalipa milion 20 kwa mwezi. Hao ndio wanawezana na mabeki wa level za raja cassablanca
 
Hakuna k2 kumaliza group stage bila goli hata 1.
Yaani nategemea kocha atimuliwe lasivyo watakua wanalea ujinga,nilimsikia kocha kacheza na time ya Nkana wamefungwa anasingizia hana quality players wakati nkana ya sasa niyakawaida mno.Namungo kiwwngo kimeshuka sio ile kabla ya kwenda group stage.hata kwenye VPL ni ya hovyo..Kocha moroco hafai,aliikuta namungo imejengwa na kocha alieondoka,akaserereka kwa nyota yake.Sasa hivi ndo anaonekana uwezo wake ni chini mno.
 
Hata Simba,si unaona hata hao Namungo tu wanaogopwa na Simba na ndio mana baba yao tff anaogopa kiwapangia mechi hadi Leo na ligi inaenda kuisha!? Maajabu hayataisha!
Umewahi kujiuliza kwanini Simba alipocheza na prison alifungwa na akijikaza sana anadraw wakati al mereik au As vita walifungwa kilaini tu?
Soka lina depend na walivyozoeana na kujua mbinu za mpinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…