mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
UTOPOLO mpo wapi?
Hakuna k2 kumaliza group stage bila goli hata 1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna k2 kumaliza group stage bila goli hata 1.
Mkuu mbona umereact hivyo jaman!!Wewe mpuuzi acha kunanisha yanga na timu za kijinga, yanga ni mabingwa wa kiistoria africa nzima na ata nje ya bara la Africa.
Uzuri wao pamoja na kupigwa hawakupigwa kapu la magoliWamejitahidi Sana.
Maana ndo mara Yao ya Kwanza hawana uzoefu.
Umenikumbusha mbali, halafu uwanja ukaanza kuwasumbua uto wenyewe badala ya wageni!Kwenye kundi la namungo kuna timu inaitwa pramids, yanga alishawai kukutana nayo mwaka juzi... uliza kilichomkuta yanga mechi zote mbili.. tena mechi alipeleka mwanza ili pitch mbovu imsumbue pyramids .. uliza kilichompata?
Angekuwa utopolo angetia aibu zaidi!CAF confederation CUP 2020-2021
Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?www.jamiiforums.com
Hata Simba,si unaona hata hao Namungo tu wanaogopwa na Simba na ndio mana baba yao tff anaogopa kiwapangia mechi hadi Leo na ligi inaenda kuisha!? Maajabu hayataisha!Kundi la namungo hata angekuwepo yanga au azam asingepata point hata moja.
Simba kwa Raja huwa anakunywa kuanzia 5Raja casablanca ni timu kubwa ndio maana imeshinda mechi zote
Kweli kabisa. Mara ya mwisho walipigwa 6 bila na Raja.Angekuwa utopolo angetia aibu zaidi!
Kwa hyo ndo unahalalisha kufungwa mechi zote. Hauko sahihi. Vip kushindwa kupachika hata kigoli?Kundi la namungo hata angekuwepo yanga au azam asingepata point hata moja.
Kwa hyo ndo unahalalisha kufungwa mechi zote. Hauko sahihi. Vip kushindwa kupachika hata kigoli?
Yaani nategemea kocha atimuliwe lasivyo watakua wanalea ujinga,nilimsikia kocha kacheza na time ya Nkana wamefungwa anasingizia hana quality players wakati nkana ya sasa niyakawaida mno.Namungo kiwwngo kimeshuka sio ile kabla ya kwenda group stage.hata kwenye VPL ni ya hovyo..Kocha moroco hafai,aliikuta namungo imejengwa na kocha alieondoka,akaserereka kwa nyota yake.Sasa hivi ndo anaonekana uwezo wake ni chini mno.Hakuna k2 kumaliza group stage bila goli hata 1.
Umewahi kujiuliza kwanini Simba alipocheza na prison alifungwa na akijikaza sana anadraw wakati al mereik au As vita walifungwa kilaini tu?Hata Simba,si unaona hata hao Namungo tu wanaogopwa na Simba na ndio mana baba yao tff anaogopa kiwapangia mechi hadi Leo na ligi inaenda kuisha!? Maajabu hayataisha!