Namuogopa X wangu

Pole sana Kwa hiyo changamoto...

Kama umeshapata mahusiano mengine (mpenzi mwingine) muelekeze kuhusu hiyo changamoto ili akusaidie kuongea naye.

Kama hauna mpenzi, mkodi mtu atakayevaa hivyo viatu ili kukusaidia uondokane na hiyo adha.

Seems huyo mwenzako bado haja-move on, bado anakupenda
 
Hiyo ni investment, ni muhimu kuitunza na kuiheshimu my lady. Kuna leo na kesho 🐒
 
Wanaokushauri wanapoteza muda. Bado unampenda na huo ukali na kero kero ndio masculine energy inayokufanya uwe addicted nae zaidi kwa sababu anakufanya uwe submissive lakini anakufanya ujihisi safe

Hiyo chuki ndio upendo wenyewe na kama kwenye simu huwezi kujizuia. Akifika mbele yako kashamaliza mchezo. Lakini usisahau kuwa makini maana kama kuna viashiria vibaya unaviona na kuvipuuza, ipo siku utavilipia. All the best
 
Mtishie kwamba utamsemea kwa Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…