Namuogopa X wangu

Namuogopa X wangu

Pole sana Kwa hiyo changamoto...

Kama umeshapata mahusiano mengine (mpenzi mwingine) muelekeze kuhusu hiyo changamoto ili akusaidie kuongea naye.

Kama hauna mpenzi, mkodi mtu atakayevaa hivyo viatu ili kukusaidia uondokane na hiyo adha.

Seems huyo mwenzako bado haja-move on, bado anakupenda
 
We mpe utelezi tu. Usisababishe aanze kutumia mate
 
Attachments

  • Screenshot_20241106_160101_Instagram.jpg
    Screenshot_20241106_160101_Instagram.jpg
    45.2 KB · Views: 8
As Salaam Alaikum dear all.

Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii,simtext wala sipokei wala kujibu text zake.

Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei.Atakaa tena siku anatext sijibu.Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.

Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.

Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sbb anapuuzia katazo langu kwa sbb sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text.Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.

Sasa recently,nimefanya kitu nikajidharau sana.Huyu X alipiga simu usiku mwingi,kuamka naona namba yake.Nikakasirika sana,nikasema huyu leo atanijua mimi nani.Nikaapa kuwa leo namtukana,nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.

Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu .Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
Hiyo ni investment, ni muhimu kuitunza na kuiheshimu my lady. Kuna leo na kesho 🐒
 
Wanaokushauri wanapoteza muda. Bado unampenda na huo ukali na kero kero ndio masculine energy inayokufanya uwe addicted nae zaidi kwa sababu anakufanya uwe submissive lakini anakufanya ujihisi safe

Hiyo chuki ndio upendo wenyewe na kama kwenye simu huwezi kujizuia. Akifika mbele yako kashamaliza mchezo. Lakini usisahau kuwa makini maana kama kuna viashiria vibaya unaviona na kuvipuuza, ipo siku utavilipia. All the best
 
As Salaam Alaikum dear all.

Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii,simtext wala sipokei wala kujibu text zake.

Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei.Atakaa tena siku anatext sijibu.Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.

Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.

Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sbb anapuuzia katazo langu kwa sbb sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text.Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.

Sasa recently,nimefanya kitu nikajidharau sana.Huyu X alipiga simu usiku mwingi,kuamka naona namba yake.Nikakasirika sana,nikasema huyu leo atanijua mimi nani.Nikaapa kuwa leo namtukana,nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.

Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu .Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
Mtishie kwamba utamsemea kwa Trump
 
Back
Top Bottom